Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

Hivi kule juu kileleni kabisa ya mlima. Mtu ukiwa na wife wako unaweza piga mambo? Itakuwa Kaukumbusho kazuri sana.
 
Hivi kule juu kileleni kabisa ya mlima. Mtu ukiwa na wife wako unaweza piga mambo? Itakuwa Kaukumbusho kazuri sana.
Mkuu kule kileleni kabisa ya mlima Kilimanjaro ni ngumu sana,kupiga mambo kutokana na baridi kali mno(barafu) kwa hiyo hata hisia za kula mzigo ni ngumu,fikiria hata kufungua zipu ni ngumu sembuse kula mzigo..??
 
....hii ni nafasi nzuri kwetu watanzania wazalendo...tujivunie vya kwetu... nipo kwenye list tayari.....
 
kwa hiyo wapendanao kikubwa watakachofurahia kwenye hii safari ni chakula cha usiku hamna jambo lingine la muhimu,..

Yaani kwa ile baridi kule na msimu huu wa mvua mtasgindwa kupeana hicho "chakula cha usiku". Pia mkila sana hicho chakula mtadhindwa kufika hata Barranco Hut.
 
Nje ya bara la africa. Nasubiri majibu . Asante
1200 USD.All inclusive(Park,Camping,Rescue fees,Meals,Guide&Porters salaries,Camping equipments,Transfer from/to Machame gate) Mpaka sasa tayari tuna wanawake 2 toka UK,Pia 23.12.2013 kuna departure nyingine via Machame route kwa siku 6 nayo pia ina 2 women from Russia. Karibuni sana kujoin..!
 
....hii ni nafasi nzuri kwetu watanzania wazalendo...tujivunie vya kwetu... nipo kwenye list tayari.....
Kwenye list yangu sikuoni,labda list yako mwenyewe.Mpaka sasa kuna watu 5 toka JF/MMU ambao tayari wameshalipa deposit..!
 
Back
Top Bottom