Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

Kwa kutumia gegedo hawafiki kwahyo unataka uwafikishe wapendanao kileleni mwa kilimanjaro manually safi sana!
Kugegedana ni OPTION ya mtu,lengo la safari si kupromoti watu waende kugegedana mlimani,ila kama utapenda itakuwa hivyo.! Kufika kileleni ni zaidi ya ufikiriavyo,any way karibu twende na wewe pia.!
 
AISEE NADHANI UNA UTANI NA MLIMA WEWE, CHAKULA CHA usiku mlimani...........HALAFU RUTI YA mACHAME!!!?
Kula Chakula cha usiku mlimani ni amazing experience, just imagine mtu anayeishi Dar es salaam kwenye JOTO 32C+ leo awe anapanda mlima Kilimanjaro,kisha afike kituo fulani cha kulala halafu apate Chakula chake cha usiku,wewe huoni hiyo ni kitu kizuri..? Yapo mengi muhimu ila hilo nalo ni muhimu kama ilivyo chumvi kwenye Vyakula.!
 
Muje niwape uzoefu, mimi niliwahi kufikishwa kileleni
 
Sijawahi kufika kileleni na mpenzi wangu hii itakuwa poa sana ngoja nimuulize kwanza...

Sent from BlackBerry 9520
 
Watu humu comment wamekalia ngono tu, haha wabongo! sijui hamna kingine cha kukaa na kufanya, Great thinkers au tuite Great Thinkers wa ngono? Bongo inadidimia hivihivi tunalaumu serikali juu huku kuanzia chini hatujaanza kurekebisha.

Haya turudi kwenye mada, Mkuu hiyo hela ni ya wote wawili au mmoja?
 
Mkuu inajadiliwa kingonongono kwa sababu mtoa mada naye kaileta kihivyo kwa kuweka habari za "kula chakula cha usiku mlimani"....lol.
 
Watu wengi hata wanaotoka na wapenzi wao nje, huwa hawapendelei kula hiyo kitu pindi wanapokuwa wanakwea mlima. Mwanamke anaweza asiathirike sana ila kwa mwanaume, wengi wao huwa wanaishiwa nguvu za miguu wakati wa ku Summit.
 
Hiyo pesa 350,000/= ni ya mtu mmoja,wawili ni 400,000/=Tsh.
 
kwa hiyo wapendanao kikubwa watakachofurahia kwenye hii safari ni chakula cha usiku hamna jambo lingine la muhimu,..
ndiyo mkuu kwa sababu mchana watakuwa busy wakipanda mlima,usiku ndo watakuwa wanakula!
 
Watu wengi hata wanaotoka na wapenzi wao nje, huwa hawapendelei kula hiyo kitu pindi wanapokuwa wanakwea mlima. Mwanamke anaweza asiathirike sana ila kwa mwanaume, wengi wao huwa wanaishiwa nguvu za miguu wakati wa ku Summit.

Kikubwa ni kujiangalia uwezo wa afya yako,kama uko more strong unaweza kugegeda hata kimoja kwa siku chache za kwanza kwenye low altitude,kama afya yako mbovu basi achana na kugegeda for sure hutaweza kufika SUMMIT of Mt.Kilimanjaro"Uhuru Peak" 5895 Meters.
 
Mkuu inajadiliwa kingonongono kwa sababu mtoa mada naye kaileta kihivyo kwa kuweka habari za "kula chakula cha usiku mlimani"....lol.
Lengo la kuleta uzi huo hapa MMU,ni kwamba naamini FORUM hii inatembelewa na watu wengi zaidi hapa JF,so watu wengi watasoma UJUMBE,lakini sina maana ya kupromoti ngono/tendo la ndoa mlimani"kula chakula cha usiku" ninachojua wengi walio serious tayari wamesha anza kufanya booking na malipo ya awali,ila wengi nahisi ratiba zao ziko tight na PESA pia ni utata kipindi hiki cha mwisho wa mwaka..!
 
aisee nadhani una utani na mlima wewe, chakula cha usiku mlimani...........halafu ruti ya machame!!!?
sio lazima ule chakula cha usiku mlimani,hata kama ikitokea kula tunashauri ule kwenye low altitude not more than 4000 meters.mbona watu wengi huwa wanakula hiyo kitu kwenye hiyo ruti,join us and see..!
 
as a guide hii 4000m unaipatia wapi unajua kwa Machame?
 
Kikubwa ni kujiangalia uwezo wa afya yako,kama uko more strong unaweza kugegeda hata kimoja kwa siku chache za kwanza kwenye low altitude,kama afya yako mbovu basi achana na kugegeda for sure hutaweza kufika SUMMIT of Mt.Kilimanjaro"Uhuru Peak" 5895 Meters.

waweza kuwa strong ila hata Stella point usiione, as a guide I cant advice my clients to do this.
 
Wadau MMU habari zenu.?
Nimeona leo nije na ofa hii ya trip kwani ni nzuri sana kwa wapendanao/marafiki nk kwani ni safari inayochukua muda mwingi mlimani, siku 7 kwa hiyo ni taratibu,huku mkipeana "chakula cha usiku njiani" hususani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka,wengine wakifikiria ni wapi waende kula Krismas.
Napenda kutangaza kuwa kutakuwa na safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kuanzia tarehe 22 Desemba hadi 28 Desemba 2013,kupitia njia ya Machame (siku 7) hivyo kwa mtu yeyote atakayependa kupanda mlima huo na kula sikukuu ya Krismas juu ya mlima,tunaomba awasiliane nasi kwa maelezo zaidi.Gharama ni laki 3 na nusu za kitanzania (Ikijumlisha viingilio,chakula,guides,porters nk) Tumebakiwa na nafasi chache sana.Mawasiliano 0787140432.
bon voyage ngoja niende zangu mabibo kuupanda kwa dk sifuri..
 
Back
Top Bottom