Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

Wapendanao juu ya mlima Kilimanjaro

malezi haya yanatukosesha tour ya kufika kileleni basi tena..

Acha tu..tunapitwa na mengi ila kama mwakani itakuwepo tena mwezi kama huu nitaweza kwenda mana mtoto atakuwa mkubwa kidogo..
 
as a guide hii 4000m unaipatia wapi unajua kwa Machame?
Nimesema iwe chini ya 4000Meters, kwani Machame Camp na Shira Camp si ziko chini ya 4000Meters.?? Acha kujifanya unajua zaidi,I have about decade worked for Tourism & Travel Industry, I know what I write..!
 
unaweza kuwa umefanya hata karne lakini ukawa unajua camps tu, wangapi nawaona bwana.
 
imetulia sana mpenzi, tukitoka huko tumepata na katavi junior kabisa. lol. fanya mambo twende dear.

Kama ushapita au kusikia sulubu ya ile miezi ya ukuruta JKT kupanda mlima ndiyo hivyo.

Wla hilo wazo la kutafuta Katavi junior halitaingia akilini!
 
Duh umetoa taarifa wkt ratiba tumepanga kukiwa trip nyngn ht km sio x-mass tujuzane mapema na iyo price ni kwa couple au m2 1 aaaaarrrgh natetemekaaa mgegedo kwny mlima mrefu Africa lzm tukirudi awe anaomba limao na ndimu chezeaa.
 
Hiyo bei ni kwa mtu mmoja,ikiwa wawili ni laki 4.Poa next trip kuondoka 04.02.2014,kupitia njia ya MARANGU (Coca Cola Route) Karibuni wote..!
 
Hiyo bei ni kwa mtu mmoja,ikiwa wawili ni laki 4.Poa next trip kuondoka 04.02.2014,kupitia njia ya MARANGU (Coca Cola Route) Karibuni wote..!

Mkuu hiyo nitaiweka kwenye diary..,by the way hivi huko kwenye temprature minus hata dushelele si linasinyaa na kuwa kama peni...nauliza tu!!
 
Back
Top Bottom