Wapenda wabeba maboksi


NN ni tafutie na mimi mdada mbeba box! aje kunisaidia kutumia ankara!
 

Hiyo database haipo up to date
 
Niwaulize wabeba box.....
Mnatuma kiasi gani cha $$ bongo? msizungumzie raba mtoni na jinzi mnazovaa milegezo
 
Niwaulize wabeba box.....
Mnatuma kiasi gani cha $$ bongo? msizungumzie raba mtoni na jinzi mnazovaa milegezo

Watu tumejenga maghorofa Mbezi beach wewe unazungumzia kutuma hela kupitia MoneyGram na Western Union....unachekesha.
 

Kiongozi,
Mimi nataka mbeba box wa kike
 
Watu tumejenga maghorofa Mbezi beacj wewe unazungumzia kutuma hela kupitia MoneyGram na Western Union....unachekesha.
Huyu ndio raisi wa wabeba box....mhh..
wenzeni Kenya wamecontribute $3 billion kwa the past 5 years.....kijana unajua uchumi kweli? kujenga maghorofa mbezi beach ndio mnaona ni bonge la contribution kwenye kukuza kanchi haka kadogo? ama kweli raisi....
 
Alafu waelezee walengwa faida ya kisayansi na kisomi ya kuwapata wabeba box.....
 

[h=3]Tanzania set to receive $17m in 2010 - BUSINESS TIMES NEWS[/h]


www.businesstimes.co.tz/index.php?...tanzania...remittances...
12 Nov 2010 – Remittances to Tanzania will reach an estimated US$17 million in 2010, up from US$16 million the previous year. "Remittances are a critical ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…