hongera,kwa kuwa wanawake wachache sana wanapenda ugali hususani maeneo ya MjiniHabari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Tru dat,tusizoee tu kula ugali wa unga wa mahandi,sku nyengine mnatoa kitu cha unga wa muhogo,mtama etcYaani mku hili la ugali wa mhogo afadhali umelileta. Jaribu kutembea Dar uoe ni hoteli ngapi wanapika ugali wa mhogo. Watoto wa sikuhizi hata hawaufahamu. Tunapoteza asili yetu
Lazima ukaeSagas wala anger pamoja na bamia na nyanya chungu
Mimi ni mmoja wapo napenda sana ugali.Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona mlugaluga.
Imebidi nipunguze ulaji wa ugali kutokana na issue za uzito wa mwili. Siku hizi ninakula ugali Jumamosi tu. Kuna wanawake wanaopenda kula ugali kama mimi?
Wanaume pia mnakaribishwa
Uupate wa moto na majani ya maboga ya nazi na Dagaa wa kigoma aisee!Majani ya mihogo icho kisamvu sasa chenye karanga kiliwe na wali, duh!
ile hiyo sio ya nature jamaa nafkiri mkenyashukrani mkuu,hii ngoma niliitafuta kwa miaka mingi,bado moja ya pro jay inaitwa tathmini aliimba na adili hisabati
Haaaa! na kweli hii njaa, kama hujauona mchana lazima umeze mate![emoji3][emoji3][emoji3]Mna njaa nyie
Duuuuu wewe ni mwanaume kumbe, basi sawaaAaahaggggghhhh nikisikia ugali hua najiona mnyonge,,kitu wali bhanaaaa weeeee,
Wali Nazi
Samak Nazi
Kisamvu Nazi weeeeeee acha kabsa,,,halaf usipikwe kwa rice cooker upikwe wa mkaa uwe na matandu aaaaah jamaniiiii wali wali wali wali wali wali wali wali wali,,,nikisafiri kwenda sehem zisizo na naz hua nabeba kadhaaa kwenye but au zile za pakit japo majua sio nzur lakin nimeshakua muathirika na mboga naz,siwez kuacha hata kaka una madhara wacha yanidhuru tu kitu checheeee .
Weeeee acha kabsa,naweza upiga asbhi kporo,mchana na usiku vile vile hata miaka mitatu mfululizo,,,Mungu ananiona sisem uongo ugali nakula kwa bahat mbaya tu,hasa nikienda ukwen mke anafanyaga makusud kupika maana anajua siwez kukataa kula...
Mkuu unazungumzia wiki wakati wengine tunapiga miezi labda ije sikukuuTunafanana sana, mimi naweza kula ugali hata mwezi mzima, yaani wali nakulaga pale inapokua imeshindikana kabisa.
Safi sana sinaga mpango wa kula sembe ni dona tu.Mkuu ndani ya dona huwezi kufunga choo, ni win win situation