comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,426
- 17,215
Alieleta uzi anasonya tu
Mimi huwa nasikiliza za jiweMImi huwa nasikiliza sana Hotuba za Nyerere na Kwasasa Heche.
Na kama nikioboreka na kutaka kucheka nasikiliza clips za msukuma na kibajaji.
Haji hana akili.🤣🤣🤣🤣 Hivi hiyo story ni ya kwel
Mpaka nasikia harufu kupitia kwenye simu yangu 🤮.
Wapo wangapi?Wale wote wanaopenda kumuona na kumsikiliza Rais Samia akihutubia au akisoma risala kwenye TV, tukutane hapa ili kwa pamoja tumfuatilie kama tunamuelewa !
Sikiliza hii mashine!inavyotema cheche