Au tufanye 105%? Samahani kama nimeukwaza utafiti wakoHahahahah. Lol.
Asipokuja unambie. Kupata warembo kama hawa ni kuwa humble, nidhamu, uaminifu, heshima, kujali na uaminifu...Babu mpaka nakuonea wivu kumpata huyo mrembo jmn
Najua ameshapata huu ujumbe babu. Natumai atakuja hapa.
sorry broHahahahah, Duh ujue MUNGU anakuona mkuu. Lol.
Asipokuja unambie. Kupata warembo kama hawa ni kuwa humble, nidhamu, uaminifu, heshima, kujali na uaminifu...
Ukitimiza hayo hapa unacheza kama utakavyo... maadam yeye anakujua ndo what matters... hii flitting nafanya anajua ni kuchangamsha kambi tu. Tatizo likakalake Mshana Jr linaweka wivu wa kijinga tu. Shenzy sana huyu jamaa