Hapana sio kweli. Mimi ni mpare halisi. chakula kikuu cha wapare ni makande sio waliHivi ni kweli hawa watu wanapenda wali ?
Watidhe...mmh! ama kweli!
NImeona jinsi wapare tunavyonangwa!!!Watidhe...
Hivi kuambiwa ukweli ni kunangwa?NImeona jinsi wapare tunavyonangwa!!!
hii kwenye picha inawakilisha ubahili ulopitiliza, rejea mchuzi wa samaki mmoja anatumika wiki moja, anachemshwa anatolewa unabakia mchuziHapana sio kweli. Mimi ni mpare halisi. chakula kikuu cha wapare ni makande sio wali
100%Kumbe ni ukweli aisee...?