Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,935
- 27,460
- Thread starter
-
- #241
MuddyYanini kutafuta "DHAMBI KWA MUNGU" zisizo na ulazima (Sijui sina, Ooh Sikusikii vizuri, Haki ya mungu nipo vibaya n.k), msema kweli ni mpenzi wa mungu.
Unampa "KITASA KIMOJA CHA KIDEVU", kesho harudii tena kupiga mzinga.
View attachment 1819781
Muigeni mudi halafu mlete mrejesho hapa, hamkawii kufungua thread za kuachwaMuddy
Katuonyesha njia kumbe inawezekana
Mudi kama mudi ni "Profesa Wakupangua Vizinga".Muddy
Katuonyesha njia kumbe inawezekana
Mkuu nimetizama avatar yako🙌🙌Sina hela
Uzuri badae haifikagi😂😂Mazingira sio rafiki, nitakucheki baadae😄😄😄😄
UsitutisheMuigeni mudi halafu mlete mrejesho hapa, hamkawii kufungua thread za kuachwa
Kwa namna yoyote madesa yake yahifadhiwe maktaba ya kitaifaMudi kama mudi ni "Profesa Wakupangua Vizinga".View attachment 1819797
Basi hawa watu hawaelewekiila wanadai kama hakupendi ndo anakupiga vizinga ili ukimbie mwenyewe
Hahahah kondoo na mchungaji wakeMkuu nimetizama avatar yako[emoji119][emoji119]
Huo ubatizo wa maji nikiboko
Mbinu bora kabisa na ambayo haijawahi kuniangusha juzi jana na leo ni kuwa mkweli na kukwepa kutoa promise za uongo.
Uwezo wa kusema Yes or No bila aibu wala kupepesa macho na kutoa sababu za maamuzi hayo is the way to go
Hakuna namna nyingine. Ni bora mtu akuchukie kwa muda mfupi kuliko kumpa ahadi hewa.Mbinu hii inakuweka huru ingawa kibongo bongo utachukiwa na kila mtu
[emoji119][emoji119]Hakuna namna nyingine. Ni bora mtu akuchukie kwa muda mfupi kuliko kumpa ahadi hewa.
Ukimpa sababu za “kumnyima” in a way unakuwa umemsaidia pia kutafuta alternatives nyingine
nipo kwenye bodaboda upepo mwingi,kashaumia.Weka kisa chako na jinsi gani ulivyofanikiwa kwepa kizinga au kukidhibiti.
Iwe katika mahusiano, biashara hata kwa watoto wakiwa bweni au vyuoni maana nao wameingia kwa kasi.
Nb: Ni kwa faida ya kujikinga kuvunjwa goti.
Kuna demu kaniliza juzi elf 30 alikua ana shida analia hana hela ya kula chuo UDSM. Leo nikawa na safari ya kwendea vyeti vyangu hapo, sasa jana usiku mida ya saa 4 nikampigia kumjulisha tu kwamba naenda kufatilia magamba yangu pale, mara paap anapokea sim namsikia na kidume pembeni anamhemea pumzi kishenzi.Toa bila kukumbuka...