Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Kama huelewi unatufuta nini huku Jf sasa..
Kila kitu utafuniwe..
Kumbuka hauko salama kiviile kama zamani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaki kutafuna kila kitu kwanini unaleta hio mada yako. Hili sio darasa kusema mwanafunzi asipewe kila kitu.

sent using samsung galaxy s8
 
Misukule ya gwajima imeanza kujitokeza sasa

Sasa gwajima anahusiana na nini wakati huu
 
mapata ya jiji la dsm yanapitwa na jiji jipya la dodoma sa nyingine unaweza kutamani kufanyiza mabadiliko lakini haya.....nafikiri sasa wakati wa wokovu ndo sasa na Mungu amemkataa sauli
 
Ukichaa tayari!
Mwenzio Mwenye Enzi Mungu kampa baraka ya mtoto!
Uwiii walahi shida za umaskini ni mbaya sana!
Kula uwembe!
That’s all
Tunasubiri Mwenye Enzi Mungu awatie ukichaa watakao nunua vilivyomo kwenye makontena.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye si ndo mungu wenu watu wa dar??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…