Hujaeleweka fafanuaBaba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama...
Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku
uliachilia nguvu ya mamlaka na kuyaelekeza mapepo directly kwa Bashite lkn hawakukuelewa zaidi ya kukudhihaki wakashindwa kutambua NENO la MUNGU lina nguvu tena halijawahi kurudi tupu..
Hakika Babeli anaanguka/Ameanguka anguko kuu..
Mambo ni motoooo!! Ni fireeee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama...
Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku
uliachilia nguvu ya mamlaka na kuyaelekeza mapepo directly kwa Bashite lkn hawakukuelewa zaidi ya kukudhihaki wakashindwa kutambua NENO la MUNGU lina nguvu tena halijawahi kurudi tupu..
Hakika Babeli anaanguka/Ameanguka anguko kuu..
Mambo ni motoooo!! Ni fireeee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweliwengine ndo wanarud kutoka ifakara leo! hakunaga network huko! full kukurupuka
Huwezi kunielewaMbona umeandika kimbea sana hii mada yako, wala hueleweki una zungumzia nini.
Alfu kama wewe ni muumini mbona una andika misemo ya kimbea sana eti mambo ni moto mambo ni fireee.
sent using samsung galaxy s8
Wamefanyaje?
Ushabiki ukiuendekeza unaweza jikuta umeliwa kicbuei na mtu sio sahihiBaba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama...
Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku
uliachilia nguvu ya mamlaka na kuyaelekeza mapepo directly kwa Bashite lkn hawakukuelewa zaidi ya kukudhihaki wakashindwa kutambua NENO la MUNGU lina nguvu tena halijawahi kurudi tupu..
Hakika Babeli anaanguka/Ameanguka anguko kuu..
Mambo ni motoooo!! Ni fireeee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema walking deadWamefanyaje?
Acha kujihesabia haki, haupo sahihi. ..nawewe hauko salama (died worker)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akiongea chochote hapa ama kina eleweka au hakieleweki hapa JF mnasema ni mipasho..Sema walking dead
Na upunguze mipasho mkuu
Kwa hiyo umemwandikia nani? Maana sote hatuelewiMtu akiongea chochote hapa ama kina eleweka au hakieleweki hapa JF mnasema ni mipasho..
Hili jukwaa si lenu, jukwaa la wote.
Huwezi kunielewa ng'oo, pita tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli k29 anataka kupewa kanisa nae apige sadaka.Mbona umeandika kimbea sana hii mada yako, wala hueleweki una zungumzia nini.