Mkuu,
Umechelewa duh, sasa hivi, yaani mida hii hii,.wameruka kwa kutumia ungo wao, kwa mwendo wa roketi ,plus kasi zaidi, ari zaidi na ,kwa nguvu zaidi..
Lakini wameacha salamu kuwa
Utabasamu na ufurahi pia urudi baadae,
Nimewasikia wakisema kuwa watarudi.
Usisahau, keep on smiling! Mkuu and have a good day!