Waone, wako kama walivyozaliwa.Hurry up!

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Mkuu,

Umechelewa… duh, sasa hivi, yaani mida hii hii,.wameruka kwa kutumia ungo wao, kwa mwendo wa roketi ,plus kasi zaidi, ari zaidi na ,kwa nguvu zaidi..

Lakini wameacha salamu kuwa

Utabasamu na ufurahi pia urudi baadae,

Nimewasikia wakisema kuwa watarudi.

Usisahau, keep on smiling! Mkuu and have a good day!
 
anajua mnapenda kuona nakedness za wenzenu so kawazingua kwa heading matata mkidhani mtapata chakula ya macho kumbe nuthin' to see hahaaaaa
 
Kuna vijeba vilitaka vione maungo ya akina fulani, dah umewaweza maana washavuta hisia tayari; kitu lazima kitakua black au chotara!! waaapi bana changa la macho!! Thanks nimeipenda sana ndo dawa ya wapenda Ponography....sorry
 
Malaria sugu, Dar es salaam, Mtu wa Pwani, Zubeda, wengine nimewasahau...waweza kunikumbusha, ndo wameonekana wakiwa.... sijui na maka....ba pamoja na kinono!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom