Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Jamaa wamejificha, ilibidi waende kudhibiti maandamano wao wakatorokaWapi hii mkuu?
Dhaifuwataku-mwangosi
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Jamaa wamejificha, ilibidi waende kudhibiti maandamano wao wakatoroka
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.
Mkuu mbona kila RPC analo?Yaani RPCs nao wanatumia mashangingi..? Kweli nchi yetu ni shamba la bibi.. Nilidhani Kova pekee hapa ndio anatumia hiyo mashine..
Mkuu mbona kila RPC analo?
ha ha ha!wana vitu vizito hao tena vyenye ncha kali,ngoja wakusikie!!Jamaa wamejificha, ilibidi waende kudhibiti maandamano wao wakatoroka