Waoga haoooooooo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,274
394215_420905121280165_1114318537_n.jpg
 
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.
 
Jamaa wamejificha, ilibidi waende kudhibiti maandamano wao wakatoroka

Ni Nyololo hapa juu pale kuna kimlima hivi,hawakujificha bali walikusanyika kabla hawajaanza kuadvance. Hawa jamaa kunapotokea vurugu kwa upande mwingine huwa wanafurahi,wanapiga watu na kuwasearch wenyewe wanaita "Kutoa vitu vya hatari"
 
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.

du baab,uku UP ka ndege!
 
Yaani RPCs nao wanatumia mashangingi..? Kweli nchi yetu ni shamba la bibi.. Nilidhani Kova pekee hapa ndio anatumia hiyo mashine..
 
Mkuu mbona kila RPC analo?

Mkuu nimebaki mdomo wazi hapa..! Serious cikutegemea kama RPCs wote ndo usafiri wao huo.. Kwa hiyo kuna almost Mashangingi 30 kwa RPCs wa mikoa takribani 30 (pamoja na Zanzibar)..! OCDs wanatumia usafiri gani Mkuu..? Maana hakuna kicichowezekana Tanzania yetu..
 
uyo ni mr RPC wa ........hi ni mitaa ya nyumba ndogo ake,cku izi wana2tesa sana hawa baada ya mwenzao kufa na janaba
 
Tutakukumbuka sana mpendwa wetu Mwangosi. Mungu ilaan ccm pamoja na viongozi wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom