Waoga haoooooooo

Waoga haoooooooo

Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi
kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.

tehe
tehe tehe
tehe tehe tehe
tehe tehe tehe
tehe tehe
tehe
 
...ndio maana wamenenepeana sana, tangu 1978/9 hakuna vita..........
 
Mkuu nimebaki mdomo wazi hapa..! Serious cikutegemea kama RPCs wote ndo usafiri wao huo.. Kwa hiyo kuna almost Mashangingi 30 kwa RPCs wa mikoa takribani 30 (pamoja na Zanzibar)..! OCDs wanatumia usafiri gani Mkuu..? Maana hakuna kicichowezekana Tanzania yetu..
OCDs wao wamepewa Landcruiser pickups. Na ndio hizohizo wakati mwingine hutumika kwenye operesheni zao za kawaida.
Mheshimiwa usisahau na wakuu mbalimbali wa idara za serikali nao wanatanulia Mashangingi hayo hayo kama kawaida.
 
Duuh.. Kwa hiyo roughly hapa tunazungumzia about 300 shangingis..! Maana mawaziri na manaibu mawaziri wote.. RPCs wote.. Na hao wakuu wa idara mbalimbali za Serikali..! Nafikiria running costs za hayo pamoja na mafuta.. Ninaanza kuiamini ile habari nilioicikia kwamba Serikali inatumia about Us $ 36,000,000 kwa mwaka kwa ajili ya mafuta Mkuu..!
 
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.

aaaahahahahahahahahahaa jamani unamaneno looooh!! umenichekesha sana heheheheheheehehh!!
 
Mkuu nimebaki mdomo wazi hapa..! Serious cikutegemea kama RPCs wote ndo usafiri wao huo.. Kwa hiyo kuna almost Mashangingi 30 kwa RPCs wa mikoa takribani 30 (pamoja na Zanzibar)..! OCDs wanatumia usafiri gani Mkuu..? Maana hakuna kicichowezekana Tanzania yetu..
Nchi ni tajiri kwa nini wasitumie mashangingi? Tatizo letu ni rushwa unawezakuta hayo mashangingi yenyewe bei zake zimepandiana kinyama..!
 
Uliwajaribu ukawaona wanakuogopa eeeh.. Waulize wazee wa Kariakoo Uamsho nini kiliwapata, mpaka leo ukiwasalimia "Salama leykum" wanakujibu "Milele amina".
Kama hiyo haitoshi nilishuhudia wazee wazima wakiota mahipsi kutokana na kulazimika kuchomekea kanzu ghafla bila kupenda.
Ukiona Simba kalowana usifikiri kageuka kuwa ng'ombe.
Mmh! kweli umenichekesha, lkn amani haiji ila kwa ncha ya upanga, wasiojua vita hawatulia mpaka wameumia au kupoteza baadhi ya maisha kama japan na bom la Hiroshima liliwafanya waamue kuwa vita basi katika maisha yao.
 
Nchi ni tajiri kwa nini wasitumie mashangingi? Tatizo letu ni rushwa unawezakuta hayo mashangingi yenyewe bei zake zimepandiana kinyama..!

Mkuu matajiri ni viongozi na wala sio nchi.. Maana inflation ndio hiyo iko kwenye double digit.. Maisha kwa mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa mabovu.. Serikali inatumia almost 36,000,000 US $ kwa ajili ya mafuta pekee kwa mwaka.. Hili la kupandisha bei nilishalicikia.. Ila bado swala la msingi.. tunahitaji mashangingi yote hayo..?
 
Mmh! kweli umenichekesha, lkn amani haiji ila kwa ncha ya upanga, wasiojua vita hawatulia mpaka wameumia au kupoteza baadhi ya maisha kama japan na bom la Hiroshima liliwafanya waamue kuwa vita basi katika maisha yao.
Tuko pamoja mkuu.
 
Mkuu matajiri ni viongozi na wala sio nchi.. Maana inflation ndio hiyo iko kwenye double digit.. Maisha kwa mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa mabovu.. Serikali inatumia almost 36,000,000 US $ kwa ajili ya mafuta pekee kwa mwaka.. Hili la kupandisha bei nilishalicikia.. Ila bado swala la msingi.. tunahitaji mashangingi yote hayo..?
Hapo kwenye kijani pamejaa ufisadi, ccm hata uwape suzuki escudo bado wataziran kwa gharama za V8. Kikubwa ni kuchukua hatua so wewe kama wewe umefanya nini? Mie nipo cdm kitambo na nakimbiza m4c
 
Mkuu ninatoa elimu sana mbona kwa vijana na wazee kuhusu umuhimu wa mabadiliko ya kuanzia juu kushuka chini..? Tupo pamoja Mkuu kwenye kupigania kuleta mabadiliko..
 
Na wakiona mnawazidi kete mnataka kuwanyang'anya ulaji watawaletea wazee wa IVECO wawadunde kama juzikati.
 
Back
Top Bottom