Kwa hiyo hii ndo samansi??? Njoo chemba basi....
Kama vile nilivyopeleka home juzi eehhh????
Mi napiga ulabu asee. Na watoto wangu wote wawili ni mademu. Hii haimaanishi ntaacha kupiga ulabu.
Aftaroo watoto wa kike ni dili. Wakiolewa unaanza kuuza asset kidogokidogo unaenda hanemuni na mama yao. Ya kiume yanakudai mpaka vitanda na magodoro yake.
Hahahaha umeona alafu uliza kama kaka ako alipeleka kitu home? Atajitetea ooh nalea mara mke na watoto wanaumwa mara ada za shule kipindi hiki sababu chungu nzima
nasikia kuna mahusiano ya kutotuliza manii na mtoto wa kike,na pombe ni chanzo kizuri cha utulivu 0
Aseeenti!!!!!...nitakuuuzia mbwa 50 kulinda kaya...!!:smile-big: ila bia tam bana...kapashe!!Mkuu nimepata kiu ghafla...naenda kaunta. Hata nikipata mabinti 50, bia siachi..
babu alikuwa anakamata kinywaji... baba hali kadhalika... na wote wana matoto ya kiume wengi kuliko wa kike...pombe kiburudisho... mtoto majaliwa ya muumba!!!msiviunganishe bana!!Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
Hivi mlikaa wapi ati?
Naomba tufahamiane basi
Ulikuwepo bwana acha kunizuga
Dena......uko wapi?
Nimejaa tele paleeee unapajua bana pale pa mara ya pili
Hivi mlikaa wapi ati?
Naomba tufahamiane basi
Ahaa...pale 106?
Haswa kwenye AC