Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.
Hahahaha hata suit za sikukuu watoto wa kike wanawakumbuka sana wazazi wao
Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.
Nasikia watoto wa kike ni wepesi sana kukumbuka wazazi wao kuliko wa kiume ni kweli?
Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
Ukweli upo - last born wa BabaE ni binti she is one year old - na nikifanya mahesabu ya haraka haraka (-14months hivi) nilipewa nishani na Serengeti Breweries pale JJ Bar Sinza na TDL pale Rombo Sinza! kha!
Ni kweli aisee....nina wa kiume wawili....hapa nasaka wa kike kwa udi na uvumba...hata magomeni ntaenda....
Hahahaha hata suit za sikukuu watoto wa kike wanawakumbuka sana wazazi wao
Huyu muanzisha thread na wasiwasi nae kama alisikia vile tukijadiliiiiiiiii?? Asprin hebu nambie Babu yangu
Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.
Kweli tupu hapa umeongea mkuu!!!
Hata mm kumbukumbu zangu zinanipeleka huko huko kama sikosei
Pole na majukumu lakini>?
Kweli tupu hapa umeongea mkuu!!!
Hahahaha inabidi uongeze speed au uhamie kwenye Safari Lager kabisa
Wewe tangia uniweke namba tatu umenitelekeza kabisa....BE/TF hawajafa?
Asante bwana ndo kazi. Umekumbuka eeehhh nahisi alikuwepo au ana ID mbili maana ni kama copy and paste without edit
Una kesi ya kujibu kwanza acha kunipotezea
Yaani usisahau na mambo ya mipunga, khanga, chumvi dah watoto wa kike wanajali sana wazazi wao
Naweka balimi na eagle.....na bingwa....na kiki.....!
Hadi bafuni naenda na chupa....
Haswaa alafu yawezekana wale walio kuwa meza ya jilani nn maana ni kitambo toka tujadili alafu kitu imewekwa leo hii