Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIQO, Jan 10, 2011.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
  Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
  Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
  Nawakilisha.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Huu ni ukweli jamani au kitu imegonga ikulu?
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nasikia kuna mahusiano ya kutotuliza manii na mtoto wa kike,na pombe ni chanzo kizuri cha utulivu 0
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hesabu zao za kusaka vifaranga vya kiume ndo wanakosea... pombe yaishia tumboni.. mtoto atoka maunoni...!!!:frog:
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahaha kama kuna kaukweli flani vile eheeeeeee
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mkuu unajua ukiwa tungi ukifika dah unapalamia tu cha kushangaza unaweza piga na usingizi kifuani.
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh haya ngoja tuwaskie watajisema tu wenyewe!
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Mi napiga ulabu asee. Na watoto wangu wote wawili ni mademu. Hii haimaanishi ntaacha kupiga ulabu.

  Aftaroo watoto wa kike ni dili. Wakiolewa unaanza kuuza asset kidogokidogo unaenda hanemuni na mama yao. Ya kiume yanakudai mpaka vitanda na magodoro yake.
   
 9. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni hatari tupu!!! Lakini kama kuna ka ukweli vile!??
   
 10. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mtasema tu wote ngoja tuwasikilize
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Umeua mazima, unapiga usingizi na baioloji iko kwenye kikojoleo? Hapo lazima kazaliwe kabinti asee.
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndo hapo nnaposema hesabu zinakuwa mbovu...!! kama unataka dume.... hata ukiwa BWAX... lazima ile siku ya siku unatupa kombora lilotengenezwa na supu ya mchicha, kitunguu saumu, pweza, ngisi na asali... ikisakafiwa na mzinga wa Konyagi!!:tongue:
   
 13. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mkulu kuna ka ukweli lakini....
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mpaka inafikia point ina bidi nisukumwe pembeni ushachapa kausingizi balaa
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha wakati wa matusi unauchapa usingizi kabisa
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nasikia watoto wa kike ni wepesi sana kukumbuka wazazi wao kuliko wa kiume ni kweli?
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimepata kiu ghafla...naenda kaunta. Hata nikipata mabinti 50, bia siachi..
   
 18. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Unscientific!
  Kuna jamii zinazoeleweka kwa kunywa saaana, tungetegemea kupata watoto wa kike tu kwenye jamii hizo. Na kuna jamii zingine ambazo kwa tamaduni zao pombe ni za shida au ni kwa wizi tu, tungetegemea jamii hizo kuwa na watoto wa kiume tu!
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Hilo halina ubishi. Namwona wife anavyomhangaikia baba yake wakati kaka zao wako bize na mabaamedi.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi kabla sijaanza kuingia kwenye ulevi nilipiga madume haya 2 nilivyo anza kunywa ulabu kila mama akifyatua ni jike mpaka sasa na majike haya 5
   
Loading...