Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

acha ubishi basi.
Mimi nauza hardware .najua kuhusu cement.
Kuna watu Wana mwezi hawajashushiwa cement.
Kama cement ipo madukani kwanini ipande Bei?.

Nondo zimepanda bei kwa nini wakati ukienda Kamal steel, Metro steel, Simba steel, Al Qaim hata MMI wana stock kubwa ya nondo. Narudia cement haijaaddimika bali wazalishaji wanapunguza supply ili kupandisha bei. Dangote, Twiga, Simba hata La Farge kule mbea wana cement nenda kiwandani uone kama hakuna cement.
 
Sasa umeongea nini na Mimi nimeongea nini?

Ni kweli mkuu, atakae kubishia ni yule asiehusika na hayo maswala.Tangia mwezi wa tisa kumekuwa na uzalishaji mdogo sana wa cement.Hasahasa cement aina ya Twiga plus ndiyo imekuwa adimu Sana nchini.
 
Usijali .tupo watu wengi humu.
Tuvumiliane.
Pale twiga cement inatoka Ila ni kwa wale wateja wa oda maalumu,labda zile zinazoenda Rwanda,kwenye miradi ya serikali na magorofa makubwa.ambao wao wanachukua cement moja kwa moja kutoka kiwandani hawatumii wakala.na wanapelekewa na magari ya kiwanda.

Ila sisi huku wa kwenye maduka mpaka itufikie kazi ipo.msaki kuna wateja wake Wana mwezi hawajapata cement.na hela wameshalipia.

Cement inatoka kwa majina ya watu maarufu.ila hii NI sababu ya uchaguzi wamepunguza uzalishaji Mambo ya kitulia watazalisha nyingi.

Afadhali umenipa moyo kaka, presha ilianza kupanda hapa
 
Mlichagua Upinzani Wa Kazi Gani Ninyi
Hakuiona Ccm Hoyee!!
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea KuchaguaNi Mpaka Baada Ya Miaka Mitano 😁😂😅😄😄😄
 
cement iko juu kwasababu katika miezi hii hapa walipunguza productio n maana walikua wanafanya maintanence viwandani.. kufikia dec mwishoni au january hali itarudi kua shwari..
 
Back
Top Bottom