Mimi ni Mnyamwezi; majungu hata sijui kuyapika. Nitakupa live whenever there is a need! Ni mchapakazi na nina Award za kutosha; nina akili na ninajitambua pia!
Sidhani ni vyema kuwaita waswahili wa Isevya; kanyenye na ng'ambo kuwa ni wanyamwezi ni sawa na kusema waswahili wa Ujiji ndio waha! Wanyamwezi wako Sikonge kama walivyo waha Kibondo na Kasulu!
Hao waswahili ndio wanaopenda umwinyi Kama wasukuma wa ngokolo shinyanga na wasukuma wa bukene!