Sikubaliani nawe hata chembe! Ofisini kwetu tuna mnyantuzu mmoja ni kichomi the whole Ofisi!
Come on sina vita na wasukuma coz narelate nao sana; lkn sioni kosa la msukuma mmoja au wawili ndio inajudge tabia za wote! Na siamini sana kuhusu makabila na tabia rather ni individual na tabia or a smaller community na tabia! Nyamwezi is a big tribe to generelize; unajua kuna vijikabila vingapi within that kabila? And this happen to many big kabilas!