Wanyakyusa, Wachaga na wahaya kuna nini?

kama binadamu wote mungu angemweka wawe levo moja, hakuna maendele ambayo yangekuwepo katika dunia hii....
ndio mana kwa tz tukiangalia takwimu zetu za maisha ni hii:

house girls- wahee, wachaga(warombo,kibosho)
wamachinga-wamakonde na wenzao kutoka mtwara
mafundi saa - wachaga(sijui wa wapi)
shoeshine-masai na wachaga
wachonga mihuri-wajaluo
mengine ongezeeni hapo

 
hiyo verdict ya mwl ndio kwanza nimesoma kwako mkuu hata hivyo hata wewe unatangatanga nyikani kutuambia ni nani huyo (source) aliyekuambia kwamba mwl alipata kusema hivyo kwa sababu nina uhakika wa 100% kwamba ( kwa maelezo yako binafsi) hukuonana na mwl akakueleza hayo.

hivyo mkuu utueleze ni nani wewe aliyekuambia hayo na akatangatanga nyikani kukuambia ni wapi/lini ticha alisema hayo.
 
kama binadamu wote mungu angemweka wawe levo moja, hakuna maendele ambayo yangekuwepo katika dunia hii....
ndio mana kwa tz tukiangalia takwimu zetu za maisha ni hii:

house girls- wahee, wachaga(warombo,kibosho)
wamachinga-wamakonde na wenzao kutoka mtwara
mafundi saa - wachaga(sijui wa wapi)
shoeshine-masai na wachaga
wachonga mihuri-wajaluo
mengine ongezeeni hapo




  • maaskari jeshi/polisi/magereza- wakurya
  • wafanya biashara- wachaga
  • wanasheria- wahaya
  • wachongaji- wamakonde
  • ongezea...!
 
Edward N. Lowassa ni kabila gani? je anafaa kuwa rais?

Ukipata jibu jiulize kinachoongoza mtu kuwa rais mzuri ni Kabila lake, au ni Mtu mwenyewe alivyo
 
Jamani kwa ambaye amebahatika kukaa na haya makabila wala hatakanusha, haya makabila yana kielementi fulani hivi cha kipekee, mfano wenzetu wa mbeya, kilimanjaro na kagera kupendeleana. Ningetoa mifano hapa very specific hata kazini kwangu lakini najizuia tu.
kinachonichekesha zaidi nihata wao wenyewe mmoja anapokuwa si wao mfano mchaga akawa kwa mhaya au mnyakyusa utakuta analalamika and vice versa. Tusibishe wakuu ukweli upo wazi kabisa.
Suala la elimu si kwamba wao ni wajanja sana kwani nimesoma nao wenhi tu na niwakawaida tu tukiacha talent za wachache ambao wako kwa makabila yote ila mfumo wa kikoloni ndo uliwafevour wao kutokana na asili ya mazingira yao kama vile ardhi nzuri ya kilimo ambapo wakoloni walipendelea then wa easy for them to develop.
Note. Some are good but very few lika a drop of water in the see, hence difficult to detect them.
see you next time.
 
Naona walibahatika kupiga shule mapema na ukizingatia wanakaa maeneo fertile so ata mission zilianzia uko
 
Kuna dhana imejengeka vichwani mwa watu wengi juu ya tabia ya makabila flani flani.
Mfano hili la Wahaya kupendeleana wao kwa wao ni dhana ambayo watu wamekariri tu lakini ukiwaambia wathibitishe hawata kupa jibu la msingi.
Kuna aliyetegemea kama Mkwere na Msambaa wanaweza kuwa mafisadi?
Haya sasa wale pale.
Mtasema wakwere na wasambaa ni wote ni mafisadi?
 
Back
Top Bottom