innocent swai
Member
- Jan 6, 2013
- 36
- 6
Kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa,lakini kila siku ukisoma Mbeya blog mara mtoto kauwawa kikatili katolewa viungo ,hebu watueleze faida ya haya makanisa kila kona.
Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.

Ngoja tu nikusaidie kukutajia makabila ya Mbeya:
walambya na Wandali- Wilaya ya Ileje
Wasafwa, wamalila- Mbeya mjini na vijijini
Wawanji na wasangu- wilaya ya Mbarari
wanyiha na wanyamwanga- Wilaya ya Mbozi na Momba
wanyakyusa- wilaya ya rungwe na Kyela
Wanyasa- Kyela
waguruka, wabungu, wasongwe, wakimbu- wilaya ya chunya.
Pia kuna makabila ya wahamiaji kama wamang'ati, na wasukuma (wanyantuzu) hasa kwenye wilaya za chunya na mbarari. Pamoja na makabila kutoka Iringa, Njombe, Ruvuma na Rukwa.
Mbeya makanisa ni kama jadi yao tu hawana hofu ya Mungu!