Wanyakyusa bwana kila mmoja anajiita mchungaji

innocent swai

Member
Jan 6, 2013
36
6
Kila baada ya nyumba mbili kuna kanisa,lakini kila siku ukisoma Mbeya blog mara mtoto kauwawa kikatili katolewa viungo ,hebu watueleze faida ya haya makanisa kila kona.
 
Innocent najibu on behAlf of.... Wanyaki wako poa makanisa mengi ni watu wa kuabudu mungu bt ni watu wachache ambao sio wa kabila hiyo ndo wanaichafua mbeya kwa matendo hayo mabaya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Halafu wana confidence balaa, Eti adam na Eva kaburi lao lipo ngorongoro, mtu wa 182 alikuwa Mwanamke na aliishi loliondo mchungaji ataonesha makaburi yao mungu akimruhusu kufanya hivyo!
 
Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.
 
Salome umeniacha best hiyo ni historia ya mbeya au

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Palipo Na Vurumai,na Misukosuko Ya Maisha Ndo Penye Maendeleo,GREENCITY ndo jiji linaloongoza kwa idadi kubwa ya makanisa,EASTand CENTRAL AFRICA
 
Mi nadhani mbeya inaongoza kwa kila kitu, idadi ya watu wa mbeya inasadifu matukio, dar watu wengi ila karibu wote ni wahamiaji tu, mbeya wengi wazawa, tuwaache na matukio yao, muulizeni baba wa taifa kwann haipendi mbeya.
 
Ongelea mkoa wa Mbeya,si wanyakyusa tu,kwanza wanyakyusa katika mkoa wa Mbeya wanapatikana katika wilaya mbili tu Rungwe naKyela,so angalia matukio yanatokea wapi?,mkoa wa Mbeya una makabila zaidi ya saba, mtukome.

Ngoja tu nikusaidie kukutajia makabila ya Mbeya:

walambya na Wandali- Wilaya ya Ileje

Wasafwa, wamalila- Mbeya mjini na vijijini

Wawanji na wasangu- wilaya ya Mbarari

wanyiha na wanyamwanga- Wilaya ya Mbozi na Momba

wanyakyusa- wilaya ya rungwe na Kyela

Wanyasa- Kyela

waguruka, wabungu, wasongwe, wakimbu- wilaya ya chunya.

Pia kuna makabila ya wahamiaji kama wamang'ati, na wasukuma (wanyantuzu) hasa kwenye wilaya za chunya na mbarari. Pamoja na makabila kutoka Iringa, Njombe, Ruvuma na Rukwa.
 
Mguu wa Mtoto.jpg

Balaa tupu. Mguu wa mtoto Lista Mwakanyamale mwenye miaka nane ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Isange Mwakaleli wilayani Rungwe mkoani Mbeya ukikutwa baada ya kuawa kikatili kwa kukwakatwa kichwa na kutolewa viungo vingine vya mwili wake kupatikana mtoni. Habari, picha kwa hisani ya mtandao wa kijamii Mbeya yetu.
Jiulizeni makanisa ya nini yote!!!
 
Kisa Mbeya Jiji ndiomana mnataja wanyaki,wangeongoza wakina Mwa sawa,kinyume chake wanateswa na kung'olewa meno,kutolewa Bungeni
 
Ngoja tu nikusaidie kukutajia makabila ya Mbeya:

walambya na Wandali- Wilaya ya Ileje

Wasafwa, wamalila- Mbeya mjini na vijijini

Wawanji na wasangu- wilaya ya Mbarari

wanyiha na wanyamwanga- Wilaya ya Mbozi na Momba

wanyakyusa- wilaya ya rungwe na Kyela

Wanyasa- Kyela

waguruka, wabungu, wasongwe, wakimbu- wilaya ya chunya.

Pia kuna makabila ya wahamiaji kama wamang'ati, na wasukuma (wanyantuzu) hasa kwenye wilaya za chunya na mbarari. Pamoja na makabila kutoka Iringa, Njombe, Ruvuma na Rukwa.

makabila yanayopatikana Rungwe
wanyakyusa
wasafwa(kata ya isongole/mporoto
wapenja(igogwe ,mpaka kule malika,ibililo.ila wamepoteza utambulisho na lugha yao.
wa'nyika(ikuti ndio akina bahati bukuku,nap pia wapoteza utambulisho wao
 
Kukaja, waandali na walambya sio kabila, ni sawa na wanyantuzu ndani ya wasukuma
 
kati ya miji ambayo huwa nafikiria mara mbili kama nikienda kuishi huko itakuaje maana mauaji ya kutisha yote yapo huko like kuchunwa ngozi tisha sana mbeya
 
Back
Top Bottom