Wanunuzi wa magari mabovu kama skrepa

Wanunuzi wa magari mabovu kama skrepa

Mi nina mazda pick up,km strepa ilikua na matatizo ya pump ikakaa kama mwaka bila matengenezo naitaji 2.5..mwenye uitaji aje pm..body bado ina hali nzuri tu.
Nitumie namba yako mkuu tufanye biashara
 
sasa mkuu mtu ataikata gari nzima mwenyewe ume specifya kama scrapper na value yake inakuwa calculated kwa kilo.
Hela yako ina thamani lakini si kwa gari hii. Sio gari mbovu kama unavyofikiri laaah hasha
Karibu
 
Kuna wakati kununua scrapper ilikuwa ni zuga tu... Kadi ndio ilikuwa inatafutwa
 
Wakubwa natafuta Gari Yoyote kuanzia milioni 4 kushuka chini. Ila malipo yatafanyika kwa awamu 4. Gari iwe nzima isiwe inadaiwa, mwisho kabisa iwe na Cc 1500 kushuka chini.
 
Mbona picha hamuweki hapa tukaziona, kuna mdau kadai mengi ni ya wizi, sasa na mm naanza kupata wasiwasi.
 
Kuna Suzuki carry apa,ni kizima ila kipo juu ya mawe muda mrefu tu,nikuweka betri na kuondoka,njoo na milioni tatu ubebe
 
Back
Top Bottom