biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Habari za mapumziko ya wiki ndugu zangu!
Tumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehma kama tumejaaliwa kuwa wazima hadi muda huu kwani kuna wengi wapo vitandani wanaumwa, wengine wanaelekea kuzikwa nk
Ama baada ya utangulizi, ndugu zangu wana jamii naulizia wanunuzi wa magari mabovu iwe mtu binafsi au kampuni inayonunua kwani nina gari yangu nataka kuiuza kama gari mbovu kwa ajili ya kuikata. Haina matatizo mengi isipokuwa nimeamua kuiuza kama ilivyo na mteja akiamua anaweza kuifufua au kuikata
Hali ya gari ipo vema inaridhisha, bodi ipo poa kabisaaa haijawahi kupigwa rangi, injini ndo inagonga kiaina na kibali kimoja kimeisha. Naiuza kwa ajili ya kuongezea mtaji katika kilimo na ufugaji na vilevile kuna gari tayari imeingia niliagiza
1. Gari ni Toyota Grand Mark 11 ya mwaka 2002
2. Inapatikana Kigamboni, Dar Es Salaam
3. Bei ni maelewano lakini kuanzia mil 4.6
4. Mawasiliano 0659 211 222
Karibuni