Wanting to give attention to someone who appreciates it

Okay seems like there was no love from the beginning. Feels like you married her because of the wealth her family possesses.

Now that you live together you are fed up and you can't divorce her because of your parents?

Why? Is that marriage between you, your wife and your parents? Don't have your own stand? For how long are you planning to stay like that, i mean living with a woman you don't love no more just because your parents won't let you divorce her?

Endelea nae bro kibishibishi ila kuna siku mtabadilishana majengo ya serikali. Ila kama ukiwa mwanaume jikaze kiume amsha zako achana na mambo ambayo yatakuja kukugharimu big time.
Bro we acha tu,tatizo family yake na yangu zinajuana,mimi na kaka wa huyo mwanamke biashara zetu zinaendana,zipo eneo moja na tunashirikiana.

Hata nikiamua kumuacha lazma itani affect kiana na watu ambao nashirikiana nao kibiashara.
 
Asante
Pole mno kwa changamoto!
Ila kuwa humu ndani tayari una marafiki wa kutosha!

Ukiwa haupo sawa ingia humu pita kwenye majukwaa, kuna story za kutosha! Nyingine zinatia moyo, zinachekesha, zinafundisha unaweza kutana na mada ukahisi wewe unaishi paradiso!

Halafu urafiki wa humu huwa unakuja automatically tuu unajikuta una marafiki wa kutosha!

Pole mno!

Basi shirikisha familia zenu myaongee ili myamalize. Suluhisho unalotafuta huku JF sio njia sahihi ya kutatua tatizo lako bali ni njia sahihi ya kuongeza tatizo lako.

It's never too late. As long as you have the willpower to mend your fences, just do it right away.

All the best.
 
Kwanini furaha yangu niiweke kwenye ndoa ambayo haina furaha,unataka niilazimishe furaha kwenye sehemu ambayo haina furaha ndio ili nisiongeze tatizo?

Ni rahisi sana kuongea ila watu wanarisk vitu vingi ili kuipata furaha.nipo tayari niongeze tatizo ili atleast ni enjoy..
 
Inaonekana kwanza ulioa bila kujua nini maana ya ndoa. Haiwezekani uwe unaelewa maana ya ndoa alafu unatoa majibu yakiwaki kama haya. At 27 tayari umesha give up easily, you don't even want to salvage anything from the sinking ship.

Anyways, kwanza nakushauri wakati hujaja kuomba ushauri bali kutafuta rafiki. All the best dingii.
 
My little brother, habari ya asubuhi naona unatema tu madini
 
Pole mkuu..you are married to wrong person..na uyaonayo ndo matokeo ya ndoa za kupangwa.hana hisia nawe,hakufurahii..yani mpo tu mradi kuwafurahisha wazazi..
Huu ni utumwa..
Mapenzi ni hisia,ni urafiki.
Blame it on your parents..
Ndugu yangu alifanya maamuzi ya kuolewa miaka kadhaa ulopita..mume alikua anapretend..lakini alivoingia ndani rasmi alikiona cha moto..mpaka sasa anasuffer na hana pa kwenda.
Ndoa mie zinisubiri tu,baadae sana!
Baby....
 
Pole mno kwa changamoto!
Ila kuwa humu ndani tayari una marafiki wa kutosha!

Ukiwa haupo sawa ingia humu pita kwenye majukwaa, kuna story za kutosha! Nyingine zinatia moyo, zinachekesha, zinafundisha unaweza kutana na mada ukahisi wewe unaishi paradiso!

Halafu urafiki wa humu huwa unakuja automatically tuu unajikuta una marafiki wa kutosha!

Pole mno!
Wewe ni Rafiki yangu pia.
 
Inaonekana kwanza ulioa bila kujua nini maana ya ndoa. Haiwezekani uwe unaelewa maana ya ndoa alafu unatoa majibu yakiwaki kama haya. At 27 tayari umesha give up easily, you don't even want to salvage anything from the sinking ship.

Anyways, kwanza nakushauri wakati hujaja kuomba ushauri bali kutafuta rafiki. All the best dingii.
Mkuu ni kweli sikuhitaji ushauri sababu nimetafakari vingi mpaka nimeamua kuandika huu uzi..

Huyu mwanamke sijazaa nae kwahiyo kama kuachana nae naweza achana nae lakini sio kama hivo unavotaka wewe yaani niamue tu nimuache kisa sina furaha..

Life haina formula kaka,just because its works for you doesnt mean it will work for anyone..
 
Back
Top Bottom