Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

MAKUMAZAN bonge moja la a.k.a nalitumia kitaa
 
Alikuwa kibaraka wa wazungu according to simulizi...
[HASHTAG]#Musaliti[/HASHTAG]
Makumazahn ninayo maneno ya kusema lakini siwezi kusema mbele ya watu wanyonge kama hawa maneno yangu ni baina ya mimi na wewe ila nitasema haya
Mwanamke mzuri alinihaini mautini akalifunika jina langu kwa aibu ndio mke wangu mwenyewe mwanamwali mwenye uso kama mwezi hata hivyo niliepuka kutoka katika mikono ya waliokuja kuniua nilipiga mapigo matatu kwa inkosikazi hili hakika baba yangu utalikumbuka moja upande wa kuume moja upande wa kushoto moja mbele toka nyumbani kwangu baba yangu nilikimbia na wale matarishi wa mauti walinifuata na kama ujuavyo ingawa ni mzee lakini miguu yangu ni mwepesi kwenda mbele kama paa na wala hakuna awezae kunishika niishapo toka ubavuni pake nilikimbia na wale matarishi walinifuata na sauti zao zilikuwa kama mbwa wanaowinda nikampita yule alie nihaini kisimani kama kivuli cha mauti kisha nikapiga pigo moja tahamaki kichwa chake kikatumbukia kisimani nami nisisimae nikazidi kukimbia mpaka nilipo kutana na safari ya mwindaji yule mweupe ambae amekwisha fariki nami nimekuja na watu wake hapa!
Sikuchukua kitu chochote pamoja nami ila shoka langu la vita ambalo kwa nguvu zake nilitawala watu wangu wametwaa ng'ombe zangu wamechukua wake zangu ila kwa shoka hili hili nitakata njia nifike penye ustawi nimesema aaaa
 
Mbona kitabu kimeandikwa kiingereza jamani?
Tafsiri ya kiswahili hakuna.
Nimeishiwa nguvu.
 
Legendary wa kizulu alikuwa noma sana story zake ni tamu ila zinatisha na zimejaa ukatili
Tuliwahi kukisoma shule za msingi miaka ya 70s. Baadae kilikuja kupigwa marufuku na serikali,kwa maelezo kwamba kilikuwa kinadhalilisha utu wa muafrika. Miongoni mwa vitabu vilivyopigwa marufuku wakati huo ni pamoja na 'Revolution in Zanzibar' cha Field Marshal John Okello na kile cha 'Jando na unyago'.
 
Hongera...kwa mtirirko huu unajua mengi aisee......sie miaka hiyo ndiyo kwanza wazazi wanazaliwa.
 
Kwa uzi huu wengi wenu ni wazee ama kwa umri ima kiakili. Lakini nikiangalia nyuzi zenu zingine, nashangaa.
 
Guasa...
Mwaga vitu...
Naisubiri ile ya ''kubonga.''

We mtu hatari sana kaka.
Hizi hazina za kale ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…