Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Duh! sikudhani kama nitakuwa nimeuwasha moto basi kheri maalimu wangu toka huko ulipojificha utupe burdanGuasa...
Mbona umenikuna maana kipande hicho darasani kilikuwa akipewa
msomaji makini akisome kwa kuwa kinasisimua na kinaashiria nini
kitakuja kutokea...
Kaka Guasa mbona wewe mtu una ghasia sana....
Tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara kandoni mwa mto tana miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya nyumba za zamani kadiri ya majengo ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la kale na watu walio kaa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.Guasa...
Mbona umenikuna maana kipande hicho darasani kilikuwa akipewa
msomaji makini akisome kwa kuwa kinasisimua na kinaashiria nini
kitakuja kutokea...
Kaka Guasa mbona wewe mtu una ghasia sana....
Hiyo picha ya kwanza ni pale wapo katika mto tana wakavamiwa na wajivuni waliokuwa wakiogelea majini makumazahn anasema silaha ya kwanza kuikamata ilikuwa ni shoka la umslopogaaz basi akalipeleka katika ule mkono mweusi na akaukuta ule mkono ila yule mjivuni hakupiga ukelele wowote kama kivuli alikuja na kama kivulI alienda bila kufanya sauti.
Picha ya pili wapo katika hekalu la ua na mlango umefunguliwa chini unaonekana moto
Picha ya nne wamebaki na farasi mmoja wa kuitwa nuru hapo wamebakiza zaidi ya maili 20 kufika milosis ndipo yule mzee mkubwa alipompandisha makumazahn na kumuuliza je wewe? Akajibu nitapiga mbio.
Guasa...Ha
ta tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la lake na watu wa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.
Sehemu zile walizo simama matajiri na kubishania bei katika soko lililo jaa watumwa sasa simba huja na kufanya barza zao nyakati za usiku na badala ya sauti huzuni za watumwa na sauti za bidii za watu waliokuwa wakiwanadi milio ya simba husikika katika magofu.
Pia lile shoka lake alikuwa ameweka alama ya kila mtu anayemuuwa.Pigo moja lenye, nguvu, pigo moja takaktifu....." . Nakumbuka hiyo ndio kauli yake ya mwisho ya Umsolopagaz
Vv
Shukran in advance nduguHabari njema, ninacho kitabu cha Hadith za Allan, softcopy nitaweka hapa very soon, more than 1000 pages.
Shukran maalimu wangu nadhani njia sahihi ya kumchokoza maalimu ni kumkumbusha mbali kwa kile kidogo nikijuacho kisha yeye anashusha vitu kama hivi Allah akubariki.Guasa...
Una ghasia sana wewe mtu...
Unanishushia vitu bulbul.
Hii picha ya Lamu nimeipiga 2006.
Hebu staladhi kidogo na wana barza:
... Perfumed Garden!!! Hiki kitabu niliwahi kusikia sifa zake but sijawahi kisoma, hebu funguka kiduuchu mkuu..Vitabu vile vipo nenda ile bookshop kwenye eneo la mitaa ya 'Nkurumah' jijini Dar es Salaam...mimi nilivipata pale karibu miaka sita hivi iliyopita...yaani karibu na zilipokuwa ofisi za urafiki wa Tanzania na Msumbiji...Yaani pale hata vitabu vya hadithi za alfu ulelaulela utavipata nadhani...mimi nilinunua pale mpaka kile kitabu 'maarufu' cha 'perfumed garden'... Ila sina kumbukumbu sahihi kama kweli 'perfumed garden' nilinunua pale inawezekana nilipata sehemu nyingine ila hivyo vingine nilivipata pale...
Guasa...Ha
ta tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la lake na watu wa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.
Sehemu zile walizo simama matajiri na kubishania bei katika soko lililo jaa watumwa sasa simba huja na kufanya barza zao nyakati za usiku na badala ya sauti huzuni za watumwa na sauti za bidii za watu waliokuwa wakiwanadi milio ya simba husikika katika magofu.
Pia hiki ninacho, softcopy nitaweka.... Perfumed Garden!!! Hiki kitabu niliwahi kusikia sifa zake but sijawahi kisoma, hebu funguka kiduuchu mkuu..
Dah itakuwa powa sana mkuu, nirushie na inbox aisee..Pia hiki ninacho, softcopy nitaweka.
Nitaweka hapa na wengine wasome, ila wewe kama ukitaka inbox pia nitakutumiaDah itakuwa powa sana mkuu, nirushie na inbox aisee..
Guasa...S
Shukran maalimu wangu nadhani njia sahihi ya kumchokoza maalimu ni kumkumbusha mbali kwa kile kidogo nikijuacho kisha yeye anashusha vitu kama hivi Allah akubariki.