Wanene kuongezewa marupurupu

Zitto kama hata kama unashindwa kuingia humu and i can understand lakini tutumie hotuba yako na ya kiongozi wa upinzani ambayo soon utakapoweza.....kule kweny thread ya hotuba ya bajeti

Usitususe wenzio ....

Tanzanianjema
Mbona yupo! kawa kinyonga au unaweza kusema kabadilisha Kanzu ila sheikh ni yule yule.hivi sasa yupo humuoni?
 
Nakuhakishia hayupo kwani namjua vizuri kaka...akitoa sentensi moja tu nitagundua....labda awe mwangaliaji tu

Mengine hayana haja ya kukujibu kwani umeshaamua na huwezi kubadilika...

Naomba usome hii signature yangu hapo chini.

Tanzanianjema
 
As i said earlier, political strategy......

Tanzanianjema

kocha hubadili mbinu baada ya kuona mbinu ya kwanza imefeli. nimekuuliza kuwa kwanini Zitto hakufanya press ukasema aliogopa kuingia kwenye mtego aliotumbukia DR.Salim, ILIKUWAJE JK alipokwenda Kigoma na kuwahutubia watu wa Kigoma kijijini kwa Zitto, yeye akakurupuka haraka sana na kwenda ukumbi wa maelezo kutoa statement?, wakati umesema mbinu hiyo ilimtosa Salim Ahmed? nilitegemea kama unayodai yana chembe ya ukweli. angendelea kutumia mbinu ile ile ya mwanzo ambayo haija proof failure. sasa ilkuwaje akaifuata mbinu ilimtumbukiza shimoni Salimu?

Tanzania Njema-si lazima kujibu kila kitu hata kama hakuna hoja. Story hii mimi wala Nguli-Chadema kama Kitila mkumbo hanunuwi, atanunua Mtu kama Mwanakijiji tu ambaye alitulazimisha wananchi wote, tukose habari moto moto toka klh news International, redio inayosikilizwa ulimwengu mzima, kwa sababu zake binafsi tu eti ana flu kwa wiki tatu. hapo haoni kuwa suala lake binafsi lisilo na maslahi kwetu. kalitumia kutuadhibu dunia nzima tumekaa bila habari na redio imefungwa tumeishi bila habari,lakini tukimjadili kiongozi wetu zitto anasema mwacheni ni binafsi!

huku akitumia kauli Mbiu ya KlH news kuwa " HAPA HAPENDWI MTU WALA HAPENDELEWI MTU, UNASEMWA UKWELI TU" MIE ningemwambia aweke hivi " HAPA HAPENDELEWI MTU ILA CHADEMA NA WANACHAMA WAKE TU"
 
Then deal na mwanakijiji na si mama wa zitto...

Au hata mimi...

Tanzanianjema
 
Nadhani wakati umefika nikudharau sasa...

all the best

Tanzanianjema
 

Tupac said....

"And since we all came from a woman, Got our name from a woman and our game from a woman, I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women? I think it's time to kill for our women. Time to heal our women, be real to our women
And if we don't we'll have a race of babies, That will hate the ladies, that make the babies And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one
So will the real men get up I know you're fed up ladies, but keep your head up"


Don't pay me no mind.. just bored zzZzz!!!
 

Acha kuhalalisha wizi.. hapa alieibiwa ni Mohammed Mpakanjia kwa maana amechukuliwa chake bila ya ridhaa yake.
 
Nimenawa mikono, haya tuambieni wanafunzi Ukraine leo wamekula au? Masatu again bravo kwa kusimamia heshima ya forum,

Ninarudia kuwa kwa mara ya kwanza, tumeifanya forum nyuma ya mwanachama mmoja, huyu anaonekana kuwa ni bigger than hii forum, hatujaiskia kuwa ninamtafuta ahojiwe, badala yake tunaambiwa kuwa alikula uroda, lakini ukraine! wanafunzi ukarine! wanafunzi Ukraine! Screw Muuungwana! Lowassa anatupeleka wapi?

Ukweli ni kwamba Zitto, anatupeleka kuzuri sana, na heshima mbele kwa kina "Malinzi" wa hii forum, ila ninasema wote hapa hatujalala, sasa nimeanza kumuelewa Manji Supporter, na ninasema kuwa kwa mara ya kwanza I am ashamed kuwa member wa hii forum!
 

Unapata wapi hilo "hamuwezi kukubali jibu lolote" inakuwaje umekuwa sasa mganga wa kienyeji unaetabiri yatakayo tokea baadae. Hata hivyo inategemea na uzito wa majibu yake, kama ni majibu tosheleza obvious hakutakuwa na maswali zaidi, la kama majibu ya ujanja ujanja maswali zaidi yatazuka. Huu utetezi wako wa Zitto sasa umechupa mipaka!

Kila mtu ana haki ya kuuliza lolote lile kwa mtu yeyote yule, lakini huwezi kumlazimisha mtu kujibu kama hataki. Haki ya uhuru wa kusema, inahusisha na uhuru wa kutotaka kusema! Ndio maana wenzetu wamarekani wanayo mabadiliko ya tano ya katiba!

Sasa ilikuwaje Lowassa alipokwambia anaenda kula ukawa mbogo..............


Mwanakijiji ushabiki umekuzidi kiasi unatoa conflicts statements! and what about this one....


Halafu hapa, ukapiga msele mwingine.....



U-flip flop wako unaendelea.....



What abt statement kuwa unakokuwa public figure maisha binafsi hakuna kabisa....


Ukazidisha usanii......


Nakutakiwa kila la kheri....



Since when?
 
Mzee ES,

Hujaelewa tu? wakisema Lowassa anakamua Waziri Batilda ni masuala muhimu ya kitaifa kujadiliwa. Ikiwa anaekamua Zitto ( or any Chadema leader for that matter) hilo ni suala binafsi halina maslahi ya kitaifa...!! Thats Jamboforums!

Im equally ashamed here....
 

Sio kweli, some of us (chadema) tulikuwa na msimamo mkali kuhusu Zitto kuliko nyie. Kama maelezo yake hayajitoshelezi si mseme sasa, na mseme kipi ambacho hajasema ili aseme. Kama ni maswali, ni swali gani ambalo hajajibu?

Take: simplicity is the enemy of truth, I hope we are not being simplistic by thinking that anybody who has a different view from you necessarily loves chadema and hates the establishment!
 
Nilikuwa sijachungulia huku, kumbe mambo motomoto (hadi siri za kutotahiriwa).

Seriously, jamani hapa suala ni beyond Zitto. Hapa la msingi ni kwamba kuna unafiki kwenye masuala gani yajadiliwe na kina nani wawe criticised na nani wapewe a free pass. Perception kwamba hii ni Forum ya CHADEMA haijatokea hewani tu hivi hivi, msingi wake ni misimamo ya watu kama kina Mzee Mwanakijiji. Wengine wetu kuna nyakati tunalazimika kuchukua contrarian views just for the sake of balance - to poke at the hyprocrisy of some members here. Tusipoangalia, hii forum itapoteza credibility kabisa na hata ya msingi yanayosemwa na watu wa CHADEMA yataonekana ni ushabiki tu. Hasira za kina Mzee ES kwenye hili zinaeleweka kabisa. Why should I be receiving PMs za kusema nipunguze kidogo moto kwa hawa jamaa zetu?
 
To: All

Nadhani sasa hoja hii imejikanganya tofauti na heading yake.

Kuna hoja nahisi zingeunganishwa kwenye topic nyingine ambayo huenda inafaa kuliko hii.

Kwa upeo wangu nahisi hoja zinarandana na ile nyingine ya Zitto ashangiliwa Bungeni. Kama ni hivyo basi; naomba tuziunganishe kwakuwa hoja hizi kwa wingi zinalenga issue ileile. Vinginevyo nielewesheni kwa niaba ya mods wengine.

Ni imani yangu nimeeleweka. Nasubiri wazo/mawazo
 
JF Advisor,

Mimi nadhani iache ife yenyewe. Acha busara ya wanachama irejeshe mjadala kwenye mstari. Ukitupeleka kule, unaondoa possibility ya kuwepo kwa uerevu wa kuirudisha mada ilipoanzia. Wakati mwingine let things flow as they are.
 
Great, I take your word.

Kilichosababisha niseme hivyo ni kutokana na hoja hizi kushabihiana sana. Haina neno, siku njema na w/end njema kwa wote.

Thanks and out
 
Mugongo: it is pitty kuna watu wanakwambia kupitia PM kuwa upunguze; tunahitaji sana mgongano wa mawazo. Hii ni fursa ambayo hatukuwa nayo katika nchi yetu kwa muda mrefu sana. So, maybe it is understandable kwa nini watu wengine wanakuwa namby-pamby wanapokosolewa. Tutazoea as we go along with pluralism.

My only plea is that our criticism should always be evidence-based, objective, constructive and not eroding others' dignity as people and human beings!
 
Mkubwa nakuelewa sana. Kwa binadamu wengi, "the Other" is an object, hata kama ni binadamu. Tunasahau kwamba what you look at the mirror is also "the Other".

Tutaendelea kuambiana ukweli na kuonyeshana njia pale unafiki unapokuwa dhahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…