koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 982
- 1,612
- Thread starter
- #81
Asanteni sana wakuu kwa mchango wenu wa mawazo na kila kitu,nashukuru nimepigana nimepata fedha sehemu naamini itanisaidia,kwa baadhi walosema natoa siri za familia nataka niseme hakuna la ajabu nilosema la kushtua binafsi ninavyoona maana ni vitu vinavyojulikana katika maisha yetu ya kila siku,kupata au kukosa ni kawaida.Na pia mm binafsi naamini ukitaka msaada kwa mtu au watu lazima uwaambie una tatizo gani hata kiufupi ili wao walinganishe ukubwa wa tatizo ili msaada upatikane.Narudia tena shukrani sana walonidhihaki nshawasemehe maana haya ni maisha tu na hili litapita.Bless