Wandugu naombeni mkopo

Wandugu naombeni mkopo

Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu litatokea,kiufupi mke wangu ni mjamzito na kimebaki kipindi kifupi ajifungue,balance ambayo tumesave imetumika kutokana misiba iliyotokea kwao na mwanamke,kimebaki kiasi kidogo ambacho kinantia waswasii kama endapo akijifungua leo au kesho kitasaidia,mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi uwezo wa kurejesha kiasi hicho cha pesa ninao japo kwa awamu mbili,naishi dar es salaam. Au kama kuna taasisi binafsi ambayo haina usumbufu kwenye kutoa hela naombeni mnisaidie hata jina.Nashukuru sana
Kuna processing fee ya elfu 50
 
Nilipojifungua mwanangu wa kwanza..tulikua hatuna experience sana na haya mambo..asikuambie mtu..ni maisha ambayo hayatabiriki kbs...mpk leo hubby akimuona mtu mjamzito haishi kukumbukia kile kipindi kigumu...nilijifungua alafu maziwa yakawa hayatoki for 14 dys...dk akarecommend SMA ..wazaz haya maziwa wanayajua. 35000/ na mtoto anamaliza ski 3 ..hatukuacha kuona rangi zooote ..so mkuu tegemea kashfa sana kupitia hili...!..nenda mface bosi wako huenda akakusaidia..
umenikumbusha tukio flani lilinitokea baada ya kujifungua, nilipata majipu kwny matiti ilibidi mtoto atumie hayo maziwa ili mama nipate matibabu..Haikutosha baada ya siku 10 tangu mtt kuzaliwa,ghafla mtoto aliumwa na alilazwa muda wa wiki 2 akiwa na dozi ya sindano 12 kwny mishipa....
Mama nina majipu na mtoto yuko hoi kitandani..Mungu huyu achane aitwe Mungu
 
Mkuu umekosa ata marafiki..yani unakuja huku kuanika siribza familia yako.
 
umenikumbusha tukio flani lilinitokea baada ya kujifungua, nilipata majipu kwny matiti ilibidi mtoto atumie hayo maziwa ili mama nipate matibabu..Haikutosha baada ya siku 10 tangu mtt kuzaliwa,ghafla mtoto aliumwa na alilazwa muda wa wiki 2 akiwa na dozi ya sindano 12 kwny mishipa....
Mama nina majipu na mtoto yuko hoi kitandani..Mungu huyu achane aitwe Mungu

Unaona sasa..sasa hapo ww uwe ulijiandaa na laki 2..haha utaimba tenzi kwa kihindi..haya mambo mm sitak kbs kujiashua kbs...!mambo hayatabiriki...wengine ht 20 inatosha hana shida...mm huwa na shida ya kutoka maziwa...huwa hayatoki..Dk aliniambia huwa sijiandai kisaikolojia ndo inasababisha hizo comp...na kweli huwa napanic sana na yale maumivu ya ajabu ajabu😤😤😤....mie anayebeza naamini kbs hana experience
 
kweli kbs mumy...ila wanawake Mungu ametupa mtihani jmn,ule mziki ndani ya kile kizimba,aaaa!!! sitaki kukumbuka,nilisali sala zote,za kila dhehebu na vifungu vya biblia juu..😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 mie huwa sipendi kukumbuka kbs..huwa nakua off sana...!hubbu huwa ananikumbusha nacheka sana..mtu unalia km ng'ombe jaman😂😂
 
umenikumbusha tukio flani lilinitokea baada ya kujifungua, nilipata majipu kwny matiti ilibidi mtoto atumie hayo maziwa ili mama nipate matibabu..Haikutosha baada ya siku 10 tangu mtt kuzaliwa,ghafla mtoto aliumwa na alilazwa muda wa wiki 2 akiwa na dozi ya sindano 12 kwny mishipa....
Mama nina majipu na mtoto yuko hoi kitandani..Mungu huyu achane aitwe Mungu
Duuuuh...Aseee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu litatokea,kiufupi mke wangu ni mjamzito na kimebaki kipindi kifupi ajifungue,balance ambayo tumesave imetumika kutokana misiba iliyotokea kwao na mwanamke,kimebaki kiasi kidogo ambacho kinantia waswasii kama endapo akijifungua leo au kesho kitasaidia,mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi uwezo wa kurejesha kiasi hicho cha pesa ninao japo kwa awamu mbili,naishi dar es salaam. Au kama kuna taasisi binafsi ambayo haina usumbufu kwenye kutoa hela naombeni mnisaidie hata jina.Nashukuru sana
mkuu maisha magumu hatari ninaishi peke yangu lakin nimekula mwindi wa kuchoma na maji saiv nasubir tu kulala nilibaki na jero tu mfukoni sijui kesho aiseee
 
Back
Top Bottom