witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,774
Exactly......japo yeye huwa anachukulia msaada wake kwangu kama ishu ndoogo, huwa anashangaa navyomjali...anasema haamini ( na alivyokuwa ananichukulia mwanzo ) kama nakumbuka utu[emoji16][emoji16]...kumbe moyoni angejua mi navyomthamini kuliko kitu chochote!Umenena vyema, ingawa pia kutambua na kuthamini mchango wa mtu aliyekusaidia nao ni utu. Kuna bahadhi ya watu huwa wanawasahau kabisa watu waliosimama nao wakati wa shida.
Sent using Jamii Forums mobile app