Wandugu naombeni mkopo

Wandugu naombeni mkopo

Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu litatokea,kiufupi mke wangu ni mjamzito na kimebaki kipindi kifupi ajifungue,balance ambayo tumesave imetumika kutokana misiba iliyotokea kwao na mwanamke,kimebaki kiasi kidogo ambacho kinantia waswasii kama endapo akijifungua leo au kesho kitasaidia,mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi uwezo wa kurejesha kiasi hicho cha pesa ninao japo kwa awamu mbili,naishi dar es salaam. Au kama kuna taasisi binafsi ambayo haina usumbufu kwenye kutoa hela naombeni mnisaidie hata jina.Nashukuru sana
Kwa imani yako, mungu atakufungulia njia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huku jf ni walalahoi wamejaa wamepigika ndio maana wanaitukana serikali na kutetea chadema huwez pata msaada
 
Mkuu, wakati mwingine tukisema ukweli humu tunachukiwa.
Nijuavyo mimi, swala la mke kujifungua sio dharura. Na hauwezi ukaniambia mimi kwamba nitumie akiba nilio itunza kwaajili ya mke wangu kuja kujifungua, na badala yake akiba hiyo ikatumike kwenye msiba huko ukweni.
Huo ni upuuzi wa hali ya juu kabisa aiseeeeee.......
Na kwani... mtu hauna marafiki, ndugu, wafanyakazi wenza ama watu wanao kuzunguka hadi ushindwe kuwaomba huo mkopo...!!??
Na badala yake mwanaume anapo kuja humu kwangu naiona hii sasa ni kutaka kuhurumiwa tu, na badala yake unatoa siri zako ambazo sio lazima tuzijue, ili tu uhurumiwe aiseeeeee.... seriously [emoji53] [emoji53]
By the way, mimba sio ugonjwa ikiwa tu mama mjamzito atahudhuria clinic kwa wakati na kufuata mashart ya wataalamu
Unaweza ukawa na akiba toka kipindi mimba ndogo, lakini katikat ya safari inaweza kutokea mitihani itakayokulazimu kutumia iyo pesa.

Pili kuna wakati unaweza kuwa na tatizo na usipate msaada kwa mtu wako wa karibu wala kwa boss wako,utakuta muda ambao ww unatatizo na mtu mwngine naye pesa yake kaipangia mengne anashindwa kukupa.ndo pale ulipotokea usemi wa SIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE HUTELEZA.
.
Au lah huenda ukawa una kazi na una ndugu lakini labda ww katika ndugu zako wote ndo una ahueni ya maisha hivyo huna wa kumkopa.

Hizi changamoto zipo sana katika maisha na anayemuona mtoa mada n mjinga bas uyo n bado sana katka maisha

😷😷😷
 
Hii situation inakaribia kufanana na iliyonikuta na hubby kwa kweli ...mm alikuwa akinyonya tu chuchu inakatika na damu hvyo ananyonya mazwa na dam..nauguza ziwa moja cku 2 nampa lngine nalo cku 2 ,hospital wakashndwa gundua tatzo alikiwa anapotisha cku tatu bila kunyonya ili nijiuguze..ikabidi tuchague kumuachisha atumie ya kopo.

Balaa ndo lnaanza hapo, maziwa ya 500gm ananyonya cku moja24 htr.. Kila mtu anashangaa kwa unyonyaj ule na alikiwa kibonge,uji hatak ukimpa anatapika yy n maziwa tu na vykula flan ivi vya watoto ni matunda yanakuwa yanapikwa .
Mbona alitunyoosha na hapo tupo nchi za watu, huku kodi ya nyumba karbu laki3, kod ya frem ya biashar karbu milion kasoro na uku mtoto anatujambisha...tulikuwa kama machiz mbona.
But thanx god hizi hali huwa zinapita tu ,baadae na kubaki history
Nilipojifungua mwanangu wa kwanza..tulikua hatuna experience sana na haya mambo..asikuambie mtu..ni maisha ambayo hayatabiriki kbs...mpk leo hubby akimuona mtu mjamzito haishi kukumbukia kile kipindi kigumu...nilijifungua alafu maziwa yakawa hayatoki for 14 dys...dk akarecommend SMA ..wazaz haya maziwa wanayajua. 35000/ na mtoto anamaliza ski 3 ..hatukuacha kuona rangi zooote ..so mkuu tegemea kashfa sana kupitia hili...!..nenda mface bosi wako huenda akakusaidia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu,umefafanua vyema,marafiki ninao lkn naweza sema wengi wao afadhal ya kwangu mm.Ndugu pia lkn nadhan wengi tunajua tabia za ndugu zetu,ukiomba msaada unaweza kutangazwa ukoo mzima,sipendi hiyo kitu.Afu pia mi ni first born ktk familia yetu so wadogo zangu wanantegemea mm karbia kwa kila kitu hapa mjini.

Back
Top Bottom