Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

Ke vigezo vingi na Me vigezo vingi.
Wakikutana huko ndani kila mtu kamdanganya mwenzie ili waendane mwisho wa siku wote wanaishi kirobori roboti.
Wakichokana wanaanza kupigana matukio saa hiyo wana watoto tayari.
 
Wasiwasi Wako Tu..."Ishi Nyakati,,,Heshimu Nyakati,,,,Jali Nyakati....Live The Life You Love"
 
Ubishi ni pale ambapo unajua mada ni kitu fulani na tunalenga kujadili upande fulani halafu wewe unakuja na hoja ambazo zinalenga mada zako wewe kichwani na hata ukiambiwa au kuelekezwa unaona sasa hapa ndio opportunity ya kuanzisha zogo na mabishano ndio maana hata ulivyoanza umesema kubishana badala ya kujadiliana.

Watu wanaojadili vitu huwa wanakuwa na hoja za msingi ambazo zinahusiana na mada mezani. Hatuwezi tukawa tunajadili magari wewe ukaleta hoja za uvuvi na ukalazimisha kuwa ni jambo la msingi pia ukijua wazi hakuna ambaye anajadili uvuvi muda huo bali mjadala ni magari.
Na hii nayo huwa ni mbinu yako mojawapo ya kukimbia hoja, ukishaona umeshindwa huwa unaanza kusema nimetoka nje ya mada, wewe huwa ndio bingwa wa kuleta personal attacks ila huoni kama huko nako ni kutoka nje ya mada
 
Muda unaenda we endelea kujichekesha utafute mwanaume akuoe
Hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa amtafute mwenzie amuoe we ushachanganyikiwa siyo bure
 
Ni mimi pekee yangu nimekuwa nikikwambia hicho kitu? Unatabia ya kubadilishana uelekeo wa mada na kugeuza mjadala kuongelea jambo lako badala ya kubakia kwenye mada iliyo mezani.

Hii tabia ndio escape plan yako.
 
Hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa amtafute mwenzie amuoe we ushachanganyikiwa siyo bure
Sasa kwa tabia mwenendo wako huu na haiba hii ya kukinzana na kulazimisha mashindano na wanaume kitu ambacho sio haiba ya kike unategemea nini kitokee, wewe ndio utatakiwa uwakimbize.

So far umeshapata mtu wakuja kukuposa hata japo tatu tu?🤔
 
Basi me nikiangalia picha za zamani mama zetu walikuwa wanavaa vimini na sleeveless kuliko hata sisi wengine saivi tinajistiri na hijab. Walikuwa uzungu uzungu mwingi
Wewe hebu uwe basi hata na aibu. Vimini ni vazi la juzi juzi tu kwenye jamii ya mtanzania na mwafrika hebu tushirikishe wewe hivyo vimini na sleeveless walizivalia wapi, miaka gani,eneo gani hilo?
 
Wewe hebu uwe basi hata na aibu. Vimini ni vazi la juzi juzi tu kwenye jamii ya mtanzania na mwafrika hebu tushirikishe wewe hivyo vimini na sleeveless walizivalia wapi, miaka gani,eneo gani hilo?
Sina haja ya kusema uongo mkuu. Sipati faida yyt. Siwezi kuweka picha hapa ya mzazi wangu au wazee mana wengine washatangulia mbele ya haki. Binafsi nlikuwa namuuliza mama mbona sisi mnatulazimisha kuvaa hijab na kujistiri lkn nyinyi mlikuwa mnavaa hivi..at that time nafkiri dini ilikuwa haijaenea sijui tuseme au utawala wa wazungu ulikuwa bado umeacha athar.
Naizungumzia Zanzibar mkuu
 
Ni mimi pekee yangu nimekuwa nikikwambia hicho kitu? Unatabia ya kubadilishana uelekeo wa mada na kugeuza mjadala kuongelea jambo lako badala ya kubakia kwenye mada iliyo mezani.

Hii tabia ndio escape plan yako.
Mimi huwa siangalii ni wangapi wananisema kuhusu tabia fulani huwa naangalia kama wanachosema ni kweli, what if hao wanaosema kama wewe nao ni wale wale tu wanafanya hivyo kwa sababu wameshindwa hoja, mimi kama tabia ninayo huwa nakubali kwamba ninayo hata nikiambiwa na mtu mmoja tu au hata nisipoambiwa kabisa ila kama sina hata niambiwe na dunia nzima siwezi kukubali
Sasa kwa tabia mwenendo wako huu na haiba hii ya kukinzana na kulazimisha mashindano na wanaume kitu ambacho sio haiba ya kike unategemea nini kitokee, wewe ndio utatakiwa uwakimbize.

So far umeshapata mtu wakuja kukuposa hata japo tatu tu?🤔
Huko kwenye uhalisia tunaona wanawake wenye tabia za ajabu walioshindikana wanaolewa na wanaume wa maana tu sembuse mimi, ifikie pahala mkubali kwamba si kila mwanamke aliyekosa amekosa mwanaume wengine hawataki tu kuolewa na ndio hao wanaowaumiza vichwa kila siku na kuwafanya muanzishe minyuzi yote hii, after all hakuna mwanamke asiyetongozwa mimi binafsi mpaka naona kero yani na hata ningekuwa sitongozwi wala nisingewaza tena ndio kwanza ningeshukuru mnachotakiwa kujua si kila mwanaume ana mitazamo ya kipumbavu kama ya baadhi yenu
 
Ni mimi pekee yangu nimekuwa nikikwambia hicho kitu? Unatabia ya kubadilishana uelekeo wa mada na kugeuza mjadala kuongelea jambo lako badala ya kubakia kwenye mada iliyo mezani.

Hii tabia ndio escape plan yako.
Huyo jadda hutoweza bishana nae, nahisi jadda anaweza kubishana hata na radio Zemanda
 
Kuna demu kamkandia jamaa mmoja aliyemtongoza na kudaia atafia kifuani kwake, anamuona ni mzee aliyekondeana. Kamdharau ile mbaya huyo mshua. Kumbe huyo demu ni malaya mwenye kutaka wenye hela tu
😂😂😂😂😂
 
Muda unaenda we endelea kujichekesha utafute mwanaume akuoe
Kwani kuoa na kuolewa ni lazima? Ndipo unapo feli wee Z, unaweza kuwa na hoja, ila inafika tyme unapoteza focus. Afu ukiambiwa unajifanya mjuaji.

Hebu waza upya hizo fikra zako.
 
Sasa : " mmmmmmmmmn sasa mwanaume hauna hela,hauna kazi unanitaka utanihudumiaje kwa mfano, au unataka ukanifubaze nichakae ndio ufurahi? We kuweza"
Siku hizi wanachoma Visu, sio kuishia kukupa maneno tu utachomwa kisu baadae kwenye maelezo polisi atasema ulimtumia mkakubariana utampa laki 1 ukamla mbele na nyuma baada ya hapo hujampa hata 100 anakudai hela yake, sogeza kete hio
 
Wewe hebu uwe basi hata na aibu. Vimini ni vazi la juzi juzi tu kwenye jamii ya mtanzania na mwafrika hebu tushirikishe wewe hivyo vimini na sleeveless walizivalia wapi, miaka gani,eneo gani hilo?
Wanawake wengi hasa waliokuwa wa mjini au wana màisha fulani mavazi yao wengi wamevaa hivyo vimini,

Mimi picha zipo kwa albamu kabisa, wala sio uwongo, Ila rate ya wale wa vijijini ndo walijifunika sana tofauti na wa mjini
 
Back
Top Bottom