Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

Wanawake zamani VS. Wanawake Sasa

ilikuwa ni nadra kuona maungo yao hivyo siku ukiyaona unatamani kuyaona hamu haikuishi.

zama hizi maungo yako wazi hata ukiwa naye mvuto unakuwa umepungua.
Ni kama zamani ambapo pilau ilikuwa inaliwa kipindi cha sikukuu tu au sherehe hadi kikawa ni chakula cha heshima sana hapa Tanzania. Ila kuna wapuuzi wakaleta dharau zao na kukifanya ni chakula cha kawaida kukipika mara kwa mara bila utaratibu watu wamezoea na sasa pilau haina heshima tena kwenye jamii ya mtanzania kama zamani.
 
Mademu wa siku hizi wao ndio huchagua wa kuwaoa kwa kutaka sifa kuwa wameolewa na kijana mtanashati mwenye hela maisha mazuri ni kula na kuvaa each and everything available. Hawataki waume wa kuletewa wasio na sifa za kusisimua kiuchumi, tofauti na zamani ukiletewa mchumba hata kama hujampenda huchomoi na ndoa ilidumu
Wanaigiza badala ya kuishi. Ndio maana hazidumu.
 
Kuna demu kamkandia jamaa mmoja aliyemtongoza na kudaia atafia kifuani kwake, anamuona ni mzee aliyekondeana. Kamdharau ile mbaya huyo mshua. Kumbe huyo demu ni malaya mwenye kutaka wenye hela tu
Unataka demu akupende bila hela kwani wewe ndugu yake
 
Na wanafakamia dawa za kuzuia mimba kama makande. Kwa sasa hivi wengi wana matatizo ya uzazi.
 
Jadda korido za kutisha kama hizi huwa anapita kimya kimya maana anajua akileta fyoko Battalions za combatants wa Masculinity havitamuacha salama kwa mizinga mfululizo.😂😂😂
Yani bora aongee hayo mwingine ila siyo wewe ambaye mara nyingi tukibishana unaishia kukimbia au unakuja kujibu baada ya miezi sita, nilishakuambia waulize wakongwe humu kulikuwa na vichwa hasa vyenye hoja nzito ikija kwenye hizi mada na wote nilikuwa naenda nao sambamba tunakesha tunabishana hadi kinaeleweka, enzi hizo sina kazi za kufanya uzi unafikisha hadi comments buku ukicheki mtu mmoja nabishana na watu hamsini kidogo maana mwanzo tulikuwa tunaanza wanawake wengi baadaye wote wakawa wananiachia mwenyewe wanakaa pembeni wanatembeza likes tu, na ilifikia kipindi nyuzi za hivi zikianzishwa watu wananitag kabisa wanasema jadda njoo upambane mwenyewe na watu wako au utasikia jadda njoo kuna mtu anatuchokoza wanawake huku, sasa ninyi wa siku hizi hata sijui mna hoja gani za kunifanya niogope kuchangia nyuzi za aina hii zaidi ya matusi na ad hominem attacks tu mfano wewe tu hapo nikuulize una hoja gani za maana za kufanya mimi nishindwe kubishana na wewe kiasi cha kujisifia hivi..pathetic!!
 
Kuna demu kamkandia jamaa mmoja aliyemtongoza na kudaia atafia kifuani kwake, anamuona ni mzee aliyekondeana. Kamdharau ile mbaya huyo mshua. Kumbe huyo demu ni malaya mwenye kutaka wenye hela tu
Sasa unakuwa mzee hela huna wanawake wa nini sasa?
 
Zamani huko chachi demu akiombwa uchumba hakatai na hamchambui huyo anayemchumbia yukoje kiumri, kiuchumi na kielimu bora tu kiroho chake kiko safi. Tofauti siku hizi demu anakuwa na wachumba wengi halafu anachagua yupi mwenye mpunga mwingi ndiyo atamuoa hata kama ni muhuni poa tu mradi ana hela za kutosha kuliwa na demu huyo
Wewe uwe free kuchagua unayemtaka kwa tabia , shape na mengine upendayo ila yeye akubali tu yoyote ili imradi anapumua, why sasa?
 
Yani bora aongee hayo mwingine ila siyo wewe ambaye mara nyingi tukibishana unaishia kukimbia au unakuja kujibu baada ya miezi sita, nilishakuambia waulize wakongwe humu kulikuwa na vichwa hasa vyenye hoja nzito ikija kwenye hizi mada na wote nilikuwa naenda nao sambamba tunakesha tunabishana hadi kinaeleweka, enzi hizo sina kazi za kufanya uzi unafikisha hadi comments buku ukicheki mtu mmoja nabishana na watu hamsini kidogo maana mwanzo tulikuwa tunaanza wanawake wengi baadaye wote wakawa wananiachia mwenyewe wanakaa pembeni wanatembeza likes tu, na ilifikia kipindi nyuzi za hivi zikianzishwa watu wananitag kabisa wanasema jadda njoo upambane mwenyewe na watu wako au utasikia jadda njoo kuna mtu anatuchokoza wanawake huku, sasa ninyi wa siku hizi hata sijui mna hoja gani za kunifanya niogope kuchangia nyuzi za aina hii zaidi ya matusi na ad hominem attacks tu mfano wewe tu hapo nikuulize una hoja gani za maana za kufanya mimi nishindwe kubishana na wewe kiasi cha kujisifia hivi..pathetic!!
Lugha zako ni zile zile za kuamini unabishana. Mimi sipo hapa kubishana ila najenga hoja za msingi ili kusadia jamii na kuijenga.

Sasa sijui hapo unapinga wapi
 
Wewe uwe free kuchagua unayemtaka kwa tabia , shape na mengine upendayo ila yeye akubali tu yoyote ili imradi anapumua, why sasa?
Mama anaechagua ndie analipia bili. Sasa mwanaume anachagua ambaye anajua atakwenda kumtunza na kumpenda, wewe mwanamke unachagua wa kukupa unachotaka hiyo imekaaje?
 
Wewe uwe free kuchagua unayemtaka kwa tabia , shape na mengine upendayo ila yeye akubali tu yoyote ili imradi anapumua, why sasa?
chagulaga, wanaume ndio wanaochagua mke wa kuoa, si mwanamke
 
Back
Top Bottom