Mimi huwa siangalii ni wangapi wananisema kuhusu tabia fulani huwa naangalia kama wanachosema ni kweli, what if hao wanaosema kama wewe nao ni wale wale tu wanafanya hivyo kwa sababu wameshindwa hoja, mimi kama tabia ninayo huwa nakubali kwamba ninayo hata nikiambiwa na mtu mmoja tu au hata nisipoambiwa kabisa ila kama sina hata niambiwe na dunia nzima siwezi kukubali
So unataka uambiwe na mtu unaemtaka wewe? Yaani unataka kunambia ni coincidentally inatokea mimi nafikiria kitu na watu wengine zaidi ya mara 20 kwenye comment wanakwambia wewe the same exactly attitude unawaonyesha halafu useme hicho kitu hauna?
Hii tabia unayo utake ama usitake. Nitakupa mfano hapa. Ni sawa tuwe tutaongelea gari ya mjerumani kama VW then wewe kwasababu una miliki VW unakuja nakusema kwani VW ndio mbovu pekee yake mbona BMW zinashida hii na hii. Sasa swali linakuja , kwani hapa tunajadili faults za BMW au za VW? Yaani unakuja na mada yako tofauti na iliyopo mezani ili kudeflect au kuharibu mjadala kwasababu unaona upande unaoshambuliwa wewe unakugusa kwa namna moja ama nyingine.
Sasa intellectuals na watu smart huwa hawapo hivyo, mtu smart na intellectual anapowekewa mada mezani hata kama inamhusu yeye ataichangia kwa namna ya kujenga akijua kwamba hili jambo ni tatizo.
Sasa wewe hadi hapa unatuonyesha kuwa hauna tatizo na wanawake wanaobehave tofauti kiasi kwamba ina athiri jamii na ustawi wake ila unachojali ni hisia zako zisiumie sababu wanawake wanasemwa na wewe unajihisi na kujiona ndio self appointed advocate wao jambo ambalo ni la hovyo na halina maana. You got issues and you need to address them immediately before time passes out on you.
Huko kwenye uhalisia tunaona wanawake wenye tabia za ajabu walioshindikana wanaolewa na wanaume wa maana tu sembuse mimi, ifikie pahala mkubali kwamba si kila mwanamke aliyekosa amekosa mwanaume wengine hawataki tu kuolewa na ndio hao wanaowaumiza vichwa kila siku na kuwafanya muanzishe minyuzi yote hii, after all hakuna mwanamke asiyetongozwa mimi binafsi mpaka naona kero yani na hata ningekuwa sitongozwi wala nisingewaza tena ndio kwanza ningeshukuru mnachotakiwa kujua si kila mwanaume ana mitazamo ya kipumbavu kama ya baadhi yenu
Mimi nipo hapa. Ukipata mwanaume wa maana mkaishi kama mume na mke miaka 5 kwa amani njoo nitakulipia full tank ya mafuta ya gari miaka 5 gari yoyote utakayotumia kummmke kama unajiamini wewe upo vema hivyo.😂😂😂😂 Takataka kabisa.
Eti wanawake wenye tabia za ajabu wanaolewa,hivi unadhani wanaume ni mafala kama unavyowawazia kwenye hilo komwe lako la kifeminist. NGOJA MUDA WAKO UFIKE UTAJUA WANAUME NI AKINA NANI🤣🤣🤣
Wanaume ni kama wajumbe wakati wa kura za maoni hawacheki na nyani. Utachezea virungu vya utosi hauta amini.
Wewe labda umrubuni mwanaume na huyo mwanaume awe SIMP nae bado hatakuweza kama hatopita na rafiki zako basi atakuwa na kazi ya kando na hapo ndipo utakuwa single mother for life. Wewe ni single mother ajae mimi nikisoma tu hoja zako naisikia attitude yako inaongea kwa sauti kuliko spika ya msikiti. You just don't get it ,haujaandaliwa kuwa mwanamke ndio maana kila siku unaforce kuonenaka mwanaume kitabia. Hii ni 🚩🚩🚩🚩 kwa mwanaume yoyote. Utaambulia zaidi ni mimba na ndoa ya mkataba ila hautaweza kumvutia mwanaume hata ujaroge wapo, ITS NOT IN YOU,YOU ARE NOT FEMININE YOU ARE MASCULINE.
Wanaume kutongoza ni kama mbwa kubweka au jogoo kuwika,ni kawaida. Kwenye kutongozwa utamzidi wema sepetu wewe,ila si unaona alipo?
Unahisi kutongozwa ndio kupendwa?🤔 Hawa masingle mother unadhani hawakutongozwa? Kutongozwa ni kawaida sana. Sisi wanaume ndio tunatakiwa kujivunia kutongozwa na wanawake sababu sio kawaida it means nina maajabu.
Ila wewe mwanamke kujivunia kutongozwa ni ishara kuwa upo very slow kuelewa game ya mahusiano. Wanaume wanatongoza hata mke wa mtu mwenye ujauzito na watoto watatu, wanatongoza mwanamke wa miaka 50. Maisha yako yote kila unapokwenda utatongozwa hadi uzeeni wazee watakutongoza,sio ajabu. Ila kupata wa kutaka kukuchukua wewe kama mke hapo ndio shughuli unayo.
Kama unabisha hapa tuweke dau. Mimi nakwambia ukiendelea hivi, 30 hiyo hapo inakaribia,hautoboi wewe. Na utakuwa single mother ndio maana upo very defensive na topic za masingle mother kwasababu unajua soon unalekea huko au pengine unaweza kuwa tayari ushaingia humo.
anyways, turudi kwenye mada.