Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
- Thread starter
- #21
mie ni taxi driver na wateja wangu wote wananifagilia kwa kusema niko makini kuliko mataxi driver wote wa kiume. na nikipata pancha nabadilisha tairi mwenyewe mbona huwa hazichomoki?? labda wanawake unaowaongelea we ni wale watoto mayai!
Hayaka! Unachokisema nakiamini ! But kwenye wanawake 100 ukapata wawili hiyo statistics unaionaje? Is't proportional ?