Wanawake weusi ni viumbe vinavyotoweka kwa kasi

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
7,936
Reaction score
9,679
Habari zenu waungwana,

Leo nimeona tushee utafiti nilioufanya kwa viumbe vinavyopotea kwa kasi sana maana naona serikali imekazia kwa tembo, twiga, na faru huku wakisahau ya kuwa kuna hawa viumbe wanazidi kupote kuliko hao wanyama wanawake weusi wamekuwa wakizidi kuadimiki sana siku hizi.
 
Wanatoweka kutokana na ujangili wa carolight. TANAPA na serikali waingilie kati hili swala.
 
Mkuu mada ilishawekwa hapa hata siku mbili bado..
 
Mademu wanapenda kuwa na Light Skin ndio wanajua uzuri.
 
Tanzania ndo wapenda mikorogo ila kwa nchi ka Uganda,Kenya wanawake hawajichubui ngozi zao. Wengi wanaamini weupe ni uzuri inferiority complex inawasumbua
 
Weusi wa Uganda ni very unique na healthy...ni uzuri tosha
 
Hamna utafiti hapo. wanazaliwa na wako wengi balaa. Sema competition inawasumbua
 
Tanzania ndo wapenda mikorogo ila kwa nchi ka Uganda,Kenya wanawake hawajichubui ngozi zao. Wengi wanaamini weupe ni uzuri inferiority complex inawasumbua

wangejua hao wanaojikoboa wanavyokuwa kituko. Hasa pale unamkuta uso umekuwa mwekundu wakat miguu mieusi kama ngiri.
 
Kwa kweli wanatisha mno hafu chakushangaza had wamama watu wazima kabisa wanatumia mikorogo nyuso zinawaungua miguuni sasa ni zaidi ya ngiri
 
wangejua hao wanaojikoboa wanavyokuwa kituko. Hasa pale unamkuta uso umekuwa mwekundu wakat miguu mieusi kama ngiri.

Ukichunguza vizuri, wengi wao ni wafuasi na mashabiki wa ccm.
 
Back
Top Bottom