Mbona hata wewe ni mfupi pia?
wanawake wetu wengi wa
kitanzania wamejaaliwa shepu nzuri sana zenye kuvutia ila kutokana na
kunyimwa kimo wengi wao wanaonekana ni kituko hata pale wanapovaa mavazi
ya aina yoyote kwani hawapendezi kabisa kutokana na vimo vyao.
ushauri muwe mnavaa vile viatu sijui wenyewe mnaita aje? mtu akitaka
kuvaa lazima apande kwenye kistuli au meza ili muweze ku busti hivyo
vimo vyenu. ingawa na vyenyewe sio wote ambavyo vinawapendeza.
wanawake wetu wengi wa kitanzania wamejaaliwa shepu nzuri sana zenye kuvutia ila kutokana na kunyimwa kimo wengi wao wanaonekana ni kituko hata pale wanapovaa mavazi ya aina yoyote kwani hawapendezi kabisa kutokana na vimo vyao.
ushauri muwe mnavaa vile viatu sijui wenyewe mnaita aje? mtu akitaka kuvaa lazima apande kwenye kistuli au meza ili muweze ku busti hivyo vimo vyenu. ingawa na vyenyewe sio wote ambavyo vinawapendeza.
Hao wafupi wanatokana na mbegu za Baba zao fupi ,:mimba: ambao ndio Wanaume wetu wa Tanzania ! :smokin:
Nimekupenda bure ndugu.Ufupi wao ni matokeo ya baba zao wafupi, na kizazi kilichopo sasa wanaume ni wafupi na kila siku wanazidi kufupika