Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

gc.jpg
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kido chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao. Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waohongo tuu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi. Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night. Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Ki ukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na anagari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tuu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.
Mleta mada unazingua, wakati unapokea vitu hukuona umri? Hebu jibu kwanza. Au umesahau? No free lunch in America, Cha bure mjini ni Salam tu.
 
Mkuu huyu hajashawishika na kijana alivyo. Ni zile huduma alzopewa na ahadi y biashara mpya. Wajomba hawana pesa, huoni kuna mahala kaandika "kijana ana kazi, gari na mishe zake" maana yake anatoa taarifa kuwa huduma inapatikana
Wanawake wenye vupato vya Kati wanaona mwanaume akiwa na gari hata Kama IST wanaona Kama kabutua maisha wasijue mengine mikopo ........
 
Age is just a number mnajua raisi wa ufaransa amepitwa miakamingapi na mke wake, ukilinganisha make wake amemfundisha high school na amesoma pamoja na watoto wake
Anamtukana tu mwalimu wake.

Haya mambo ya kuiga eti kwa kuwa mzungu au mtu mweupe kafanya ni kukosa kujitambua.
Kama ameamua kufaanya uzinzi afanye tu hana haja ya kuomba msaada kwa watu.
Hata watu wote humu wakisema asizini naye haitasaidia kwa sababu amekwisha kuamua.
Halafu haitakiwi kumshauri mtu akatende uzinzi.

Kwanza ni
 
ni kijana wa miaka 28, hawezi kuwaza future yoyote na wewe amekutamani weupe na shepu lako kama ulivyojinadi.

kama na wewe umemtamani tu mkubalie mufurahie penzi kwa muda mbele huko umuache kijana wa watu atafute binti wakumuoa.

kama umependa kijana wa watu na unawaza kuishi naye kama mume, nikupe pole maana kwa asilimia zote yeye hatoweza kuishi na wewe mtu mzima hivyoo.

lakini kwa yote kwa yote mapenzi hayana ushauri wakukamilika. utajua mwenyew na hisia zako
U nailed it binafsi story yake inafanana san na mim na mwnamke mmoja binafsi wanawake wote niliotembea nao wamnizidi umri na tunafurahia sana tu ila kuhusu kuishi nao siwezi japo wanahitaji sana sana
 
Ni mimi tuu au hata wengine hicho kipande cha mapacha wa kiume wanafanana baba yao hamjakielewa? Back to the topic. Sitochangia chochote maana swali limeelekezwa kwa wanawake. Lakini mleta mada ungeusikiliza moyo wako.
Yaani hapo kavuruga mara sijui alikuwa na mke.
 
Bibie jua limeshazam menopause inakaribia, umri ni nmba tu kikubwa kijana anjitambua sijui malengo yake ,ila uyo ndo last chance madam tofauti na apo utaenda ambulia waume za watu, we ni mjane huwezi juwa sala zako zinajibiwa vipi
Mpe dogo ajilimbwase upate na katoto ka. Uzeeni mambo mengine yaendelee,, utakuja kufika 45. Ukaanza sumbuwa vijana wa watu binafsi mpenzi wangu kanizidi 8 na namkojoza hatari hajawah jutia
 
Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita.
Na kido chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume(mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao. Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waohongo tuu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi. Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night. Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Ki ukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na anagari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutana kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tuu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushairi mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena aliyenizidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambie atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.
dah, aisee kuna wanawake wana akili ndogo, sasa miaka 39 ndio unaandika nini ichi sasa, yaani akili yako haina uwezo kuamua kitu kidogo kama icho? au kwasababu unafanya kazi salon kwenye umbea na ushangingi?
 
Yani shida zako anakusikiliza anakusaidia wewe shida zake unaoomba ushauri swali hao uliowavulia wenye umri sawa na wewe wapo wapi si wamekugonga wameondooka ebu mtunuku kijana Kama ulivyowatunuku wengine tena kampe yote bila hiyana mpe kijana kwanza hayo Mambo si siri kampe acha kuchelewa
 
Back
Top Bottom