Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Kaka nimekuelewa Ila sasa katika Jamii zetu hzi tunawezaje kuepuka vyakula vya wanga maana ndio vimejaa kila kona...

Mtu anaweza kujitahidi kula mboga za Majani na matunda Ila wanga lazima tu utazidi na maisha yetu haya dah,Kuna muda diet ni ngumu mno kuzifuata aisee.
tunahitaji vyakula vyote mwilini shida ni kiasi ex.-2kgs ya nyama kwa wiki.
-bia mbili ikizidi tatu,mara mbili ikizidi mara tatu kwa wiki.
jeeeeeee!????? tunafata iyooooo!!!! Mbaya zaidi NO mazoezi
 
Dada shemeji...majukum plus kulea. Siku hizi simu anashinda nayo p. Si unajua watoto tena mara aipigize mara aiangushe. Ukimnyang'anya tuu ugomvi...

Si jui ni kwa sababu ni jf product. ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilichobaki umfungulie tu account na yeye humu.
 
Khaaa eti niogope kitambi kisa mwanaume!

Yaani nikose raha na sehemu ya mwili wangu kisa mtu?

Nipishe tu kwa kweli
 
Back
Top Bottom