Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,381
- 18,166
Kwamba ile avatar yenye miguu ameitoa baada ya kuona mwana ameiponda hapa jf?Best usiishi kwa matakwa yao hapa jamiiforum kuna viumbe inatakiwa uwadharau mpendwa
Kwamba ile avatar yenye miguu ameitoa baada ya kuona mwana ameiponda hapa jf?Best usiishi kwa matakwa yao hapa jamiiforum kuna viumbe inatakiwa uwadharau mpendwa
Maji ya moto na ndimu vinatumikaje. Maelezo tafadhaliUmejaribu maji ya moto na ndimu
Kuna sista angu yeye amekata carbs intake na fats. Yeye ni nyama ya mchemsho tu au choma, samaki na vegetables mchanganyiko, letuce, culliflowers,beetroot, kachumbari na mboga mboga zingine. Nuts kama almonds, mbegu za maboga ndio snacks zake pamoja na pop corns. Mafuta ameacha kupikia haya ya alizeti yeye anatumia mafuta ya nazi ama olive oil kupikia.Mkuu hapo wala hata usihangaike na mazoezi saaaaana, ni misosi tuu ndo uirekebishe. Punguza kula nyama, bia, soda, processed foods & drinks na mi vyakula mingi ya wanga. Pendelea kula matunda, mboga nyingi, ugali dona au wali kidogo, white meat, viazi, asali, mafuta kama ya alizeti n.k, achana na masupu na ma vitafunwa meengi yalokaangwa asubuhi ..unaweza piga ndizi zako tatu au nne ukatulia. Pata maji ya kutosha. Tatizo wenye vitambi wengi wao wanakua na apetite kubwa saana muda mwingi huhitaji kula kula sasa hapo ndo unahitaji kuji control. Swala ni kupunguza kalories tunazoziingiza kwanza kwa chakula mwilini kabla ya kufikilia namna ya kuzi burn throught mazoezi. Ukiweza tuu kua na nidhamu ktk kula inaweza kukutolea huo mtambi bila hata kwenda gym kila siku.
Hizo effects zipo hata kwa sisi wanaume ?Protien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.
Ukianza diet ya kula protien vegetables na maji mengi ukakata sukari na mafuta ndani ya miezi 6 tu watu wanaweza sema umeathirika na ukimwi! It removes all the excess fats za tumboni sema na tako pia litaisha.
😂😂😂 nawapa angalizo wauza birianiHahaha hahaha hahaha
Eti tako litaisha, wewe sio mzima ujue
Ziko kwa binadamu wote tuHizo effects zipo hata kwa sisi wanaume ?
Protien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.
Ukianza diet ya kula protien vegetables na maji mengi ukakata sukari na mafuta ndani ya miezi 6 tu watu wanaweza sema umeathirika na ukimwi! It removes all the excess fats za tumboni sema na tako pia litaisha.
Acha kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Mmh suala la kunywa maji vuguvugu yenye ndimu kwamba hutoa kitambi bado lina mjadala saana. Kitaalamu juisi ya ndimu hata haina fat burning properties, yaani hakuna mechanism inayoonesha eti ndimu huunguza wese. Uvuguvugu wa maji nao wala hauna uwezo huo wa kuunguza wese mwilini. Wanaopungua uzito kwa njia hii ni wale placebo group/ kwa imani, maana placebo has a powerful effect kama kweli ukiamini kupungua uzito kwa maji vuguvugu na ndimu inaweza kua.Jaribu mama asubuhi kabla hujaweka kitu chochote tumboni kama home kuna kamba unaluka hata nusu saa
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] nawapa angalizo wauza biriani
Hapo hujakosea kuhusu ulaji wa mwezi mtukufu*QUOTE OF THE YEAR BY PROF. MOHAMMED JANNABI, DAKTARI BINGWA WA MOYO TANZANIA:*
*"Mambo makubwa yanayosababisha mishipa ya moyo kuziba ni pamoja na ulaji wanga, mafuta na sukari. Watu wengi wanadhani mafuta tu ndio yananenepesha. La hasha, wanga ndio mbaya zaidi. Wengi wananenepeana kutokana na wanga. Ndio maana utafiti uliofanywa unaonesha watu wanaonenepeana wako zaidi nchi za Kiarabu. Mwezi wa Ramadhani waislamu wenzangu wengi huongezeka sana uzito. Hii ni kwasababu ya kula vyakula na mahanjumati yenye wanga mwingi. Pia, vyakula hivyo huliwa muda mbaya (ftari saa 12 na daku kuanzia saa 6 usiku) ambapo mwili unakuwa hauna activities na hivyo metabolism huwa ni kwa kiasi cha chini sana. Kwa siku, Sisi tunakula wanga mwingi asubuhi lakini hatuna activities tunapanda magari na kushinda ofisini tumekaa siku nzima!!!. Lazma tutanenepeana tu, hamna namna. Hii ni tofauti na wenzetu wa vijijini. Wao wanaruhusiwa kula vyakula vya aina zote kwani wana activities nyingi. Hivyo, nashauri mle vyakula stahiki, mfanye mazoezi na mywe maji kiasi. Maji mengi sana hayafai kabisa kwani yanayayusha madini mwilini ambayo ni muhimu. Kunywa lita moja na nusu tu. Mimi sijala mkate, chapati, vitumbua, maandazi nk kwa miaka 10 na sijanywa juisi na soda kwa miaka 3. Pendelea kula matunda badala ya juisi na pia kula sana mboga mbalimbali za majani. Nakusihi sana usisikilize tumbo, mdomo wala macho kwani vitakupotosha, badala yake sikiliza ubongo wako ukikwambia _"Prof. Jannabi aliniambia nile nini?"_. "DIET" ni sawa na SALA. Maana yake ni kuwa unajiandalia huko mbeleni. Uchaguzi ni wako".*
Prof. M. JANNABI, Clouds FM, 25 April 2019.
Yap, sukari hubadilishwa kua mafuta mwilini na hivyo kuongeza uzito wa mwili.Hvi Utumiaji wa Sukari nao ni hatari kwa unene??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Una kitambi mzee babaMaji ya moto na ndimu vinatumikaje. Maelezo tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dhaambiWe huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jamaa umenichekesha mnoUkitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Protien inatengeneza body mass. Inajenga uimara wa mwili hasa misuli. Carbs zinatengeneza nishati ya mwili ili uweze kufanya shughuli zako vyema ila ikizidi ndio inakuwa balaa zinageuzwa glucose kutumika kama source of energy ikiwa hautakuwa unatumia nguvu za mwili basi zitageuzwa tena kuwa mafuta mwilini ndio hayo yanayojenga mabiriani na mavitambi.Hahahahh
Yeah,ni kweli ila nilikuwa najua na protein inaongeza mwili
Protien inatengeneza body mass. Inajenga uimara wa mwili hasa misuli. Carbs zinatengeneza nishati ya mwili ili uweze kufanya shughuli zako vyema ila ikizidi ndio inakuwa balaa zinageuzwa glucose kutumika kama source of energy ikiwa hautakuwa unatumia nguvu za mwili basi zitageuzwa tena kuwa mafuta mwilini ndio hayo yanayojenga mabiriani na mavitambi.
Unajua tabu inakujaje? Nyama finyango 3 wali lumbesa! Mboga za majani kijiko kimoja. Huo wali mtu anakula wakati anaenda kulala, wote unageuka mafuta.