Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Wakuu
Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge

Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume wengi hapa jijini kwani vitambi vimewapelekea kuwa ni wanawake mizigo kitandani yaani wamekuwa zaidi ya furushi

mwanamke na kitambi yaani ukimuona huwezi jua kiuno kimeanzia wapi na kinaishia wapi zaidi kitumbo mbele tu

tumbo la mimba ni zuri na linampangilio wake wa kuvutia tofauti na haya ma-iregular tumbo

mwanamke na kitambi hawezi kuzungusha kiuno na kulikatikia dushe anapopewa njukuti kunako 6*6

naomba niweke wazi, kama unajiona ni mwanamke na unalikitambi...please kaa mbali na Once set
Usisahau na wimbi la wanaume tusio na kipato linaongezeka pia,wanawake pia wanatuchukia kinyamaaa.sasa ili tuwe ngoma droo tufanye hv mkuu,wew mpende mwenye kitambi halaf muhamasishe mazoezi,hapo utakuwa umechukua gari lisilopendwa hvyo utakuwa peke yako,huyo unaemuona umbo liko fresh ujue hata mm nimemuona na niko nae,ingawaje najua na John mchoma chips,Jack dereva wa bajaj na Yusuph dereva tax wote katumiliki,angalia hyo chain halafu jifunze kuandaa chako kwa jinsi upendavyo
Napita tuuu mkuuu
 
Mbona mnaongelea vitambi vikubwa sana,,,??

Mana changu kinaonekana nikivua nguo nikiwa na nguo huoni kitu,,,na kinanitesa
 
Haya sasa muanze kushika namba... Mna vitambi vya aina gani hapo
images (2).jpeg
 
Mkuu nakuhakikishia wanawake wenye vitambi hawavipendi hata kidogo ni vile tu wanapenda kula kula hovyo na hawataki/hawawezi kufanya mazoezi consistently.

Sent using Sukhoi Su-57
Mkuu kama umekiri hawavipendi kwa nn wanakula kula ivyo kama mibata wapunguze kula kama minguruwe kinyume na hapo watakuwa magogo tu kitandani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu
Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge

Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume wengi hapa jijini kwani vitambi vimewapelekea kuwa ni wanawake mizigo kitandani yaani wamekuwa zaidi ya furushi

mwanamke na kitambi yaani ukimuona huwezi jua kiuno kimeanzia wapi na kinaishia wapi zaidi kitumbo mbele tu

tumbo la mimba ni zuri na linampangilio wake wa kuvutia tofauti na haya ma-iregular tumbo

mwanamke na kitambi hawezi kuzungusha kiuno na kulikatikia dushe anapopewa njukuti kunako 6*6

naomba niweke wazi, kama unajiona ni mwanamke na unalikitambi...please kaa mbali na Once set

Naunga mkono hoja....kwa kweli hawana mvuto kabisa ila kwa sasa hapa Tanzania haswa jijini Dar mwanamke asipokuwa na kitambi zembe anajiona hana thamani, yaani atajitahidi kula hovyo mpaka awe na kitambi.

cc: Kajala Massanja
 
Kitambi na kibamia....................... bora kitambi ataondoa sasa wewe wa kibamia utafanya je? maana hata kurefuka ikirefuka sana mno inakuwa kama kidole cha mwisho na kama pia unakibamia lazima ukiogope kitambi
Ukiona mwanamke anaongelea vibamia ujue yy ana size ya 6XL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujaongelea kibamia tupe size ya k yako
Sasa Mkuu vitambi vyetu vinakuhusu nini, kwani umelazimishwa uwachukue wenye vitambi, kitambi cha mwingine kuumia uumie wewe,kuna wenzako wanavipenda ujue, halafu mara nyingi nyie mnaokosoaga vitu ndio wahanga wakubwa,kama sio mkeo ana kitambi basi gf wako ana kitambi, na ww pia unacho au una kibamia, tupishe sie na vitambi vyetu kwa raha zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote watapenda unachopendelea wewe binafsi nawapenda sana wanawake wenye vitambi,matipwatipwa,wale waliojaaliwa nyama mwili mzima. Wasijione wanyonge nipo kwa ajili yenu.
Asante sana kwa kutupenda darling.
Nasi tunakupenda pia honey
 
Back
Top Bottom