- Thread starter
- #101
pole sana, piga zoezi plus diet upunguze tumbo hiloWewe utakuwa kibamia
pole sana, piga zoezi plus diet upunguze tumbo hiloWewe utakuwa kibamia
mkuu sampuli kama hizi ndio zimelengwa na uzi huu
Acha kula kama Mchwa utaua watoto
hakuna raha ya kitambi mkuu, ni ugonjwa huo.... wauzaji wa dawa ndo wanalielewa vizuri hili.... obese, diabetes na hypertension zinakuja kasi sana siku izi .. na sababu kubwa ni mfumo wetu wa maisha.Sasa Mkuu vitambi vyetu vinakuhusu nini, kwani umelazimishwa uwachukue wenye vitambi, kitambi cha mwingine kuumia uumie wewe,kuna wenzako wanavipenda ujue, halafu mara nyingi nyie mnaokosoaga vitu ndio wahanga wakubwa,kama sio mkeo ana kitambi basi gf wako ana kitambi, na ww pia unacho au una kibamia, tupishe sie na vitambi vyetu kwa raha zetu
fanyeni mazoezi ya kawaida, ndo pekee yanapunguza uzito na kukuacha salama...Mkuu wenyewe hatupendi lakini ndio hatuna jinsi hatujajiumba wenyewe
Ha ha haa
Maana ya kula kula hovyo ni nini?Sijasema kula mno ni sababu pekee. Soma vizuri.
Sent using Sukhoi Su-57
Nisile ili iweje sasa?Acha kula kama Mchwa utaua watoto
#bamia_ndefunene


Sio wenye VITAMBI TU,, Bali hata wale wenye RANGI MBILI kama tetracycline PIA wakae mbali na UZI HUU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah naye kakumiss mno mnooooo...
Tell you what, mtafute mtaa wa pili kanielekeza namna mtakutana for real...
Hebu rudia kusoma nilichoandika.Maana ya kula kula hovyo ni nini?
Hebu rudia kusoma nilichoandika.
Sent using Sukhoi Su-57