Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Sasa Mkuu vitambi vyetu vinakuhusu nini, kwani umelazimishwa uwachukue wenye vitambi, kitambi cha mwingine kuumia uumie wewe,kuna wenzako wanavipenda ujue, halafu mara nyingi nyie mnaokosoaga vitu ndio wahanga wakubwa,kama sio mkeo ana kitambi basi gf wako ana kitambi, na ww pia unacho au una kibamia, tupishe sie na vitambi vyetu kwa raha zetu



