Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Wanawake wenye vitambi mnipite mbali kabisa

Wakuu
Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge

Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume wengi hapa jijini kwani vitambi vimewapelekea kuwa ni wanawake mizigo kitandani yaani wamekuwa zaidi ya furushi

mwanamke na kitambi yaani ukimuona huwezi jua kiuno kimeanzia wapi na kinaishia wapi zaidi kitumbo mbele tu

tumbo la mimba ni zuri na linampangilio wake wa kuvutia tofauti na haya ma-iregular tumbo

mwanamke na kitambi hawezi kuzungusha kiuno na kulikatikia dushe anapopewa njukuti kunako 6*6

naomba niweke wazi, kama unajiona ni mwanamke na unalikitambi...please kaa mbali na Once set
Weka picha tuone ni vitambi vya aina gani unaongelea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_4413.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kitambi ufanye mazoezi kisipungue maajabu.
Mazoezi ya kuondoa kitambi si shughuli ndogo tena kikiwa kitambi kikubwa inaweza kuchukua hata mwaka na Mazoezi ya mfululizo bila kuacha,Hapa ndipo inakuwa ngumu watu kuyamudu na kuona bora wabaki na vitambi vyao kuliko mazoezi..

Yan tumbo ni sehemu korofi sana kupungua aisee.

Ni kweli mkuu watu wengi hawapendi kufanya mazoea ila wanahitaji kuondoa kitambi mwisho wanatumia njia ambazo ni hatari kwa afya.
 
Ni kweli mkuu watu wengi hawapendi kufanya mazoea ila wanahitaji kuondoa kitambi mwisho wanatumia njia ambazo ni hatari kwa afya.
Kitambi kinaondoka ila tu inahitaji kujitoa kweli sio unafanya mazoezi ya tumbo wiki moja halafu unaacha,

Kubadili mfumo wa ulaji😛ale unapoanza mazoezi lazima uhakikishe unapunguza kula sana hasa vyakula vya mafuta mengi ikiwamo Chips, Nyama na wale walaji wa kitimoto na moja baridiii....Tukiweza kumaintain hvyo pamoja na mazoezi ya mara kwa mara tumbo huanza kurudi katika hali yake ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeenh we ndio hujui basi, hao wenye vitambi ndio wenyewe...

Ukimlalia juu ule upepo wa tumbo unatawanyikia kwenye papuchi huko, inaifanya papuchi iwe imetunatuna hivi raha burdaaani....

Burdani nyingine ni kwenye ule mshikemshike wa kutafuta papuchi ipo longityudi na latityudi gani, mara umeweka kwenye kitovu mara umeweka pale...teh teh!!!
😂😂😂
 
Vitambi vya wanawake vinachangiwa zaidi na kula koni..
Si unajua vitu vya sukari sio vizuri?
 
Back
Top Bottom