Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

N kawaida wanawake 18-26 ivi wengi wanataka kufaidi usichana wao ila akishavuka hpo nakuona anaelekea ubibi bas nd anatafuta ht mzibua vyoo ilimrad amuoe
 
Human JF! Luna wengine wanatuambia kuanzia 26 tumezeeka, Afadhali we we umejifunza from experience..... Huo umri binti anakuwa bado hajajua anacho kitaka, hajui tofauti ya maisha ya boyfriend/girlfriend na ndoa...... Lakini kuanzia 26, binti anakuwa kajitambua, anajua thamani yake, anaweza kujiendesha mwenyewe kiuchumi nk........ Lara Alisha kuju a thread hapa kuwa Life begins at thirty, walio muelewa walimuelewa, na waliomponda walimponda.......But late twenties naona ndiyo umri sahihi kwa binti kuingia kwenye ndoa. Nawasilisha


Point
 
Jipime na ww.Inawezekana unapenda wanawake wa aina flan ambao mwisho wa siku unasema wana tamaa na hawana malengo
 
Watu wazinzi hadi miaka 90,

itakua 20s..
Acheni bhana haya mambo hayana formular
 
Hivi tabia /ukuaji wa binadamu uko programmed kihivyo kwamba ukifika umri fulani kuna kitu automatically kinabadilika?... Nadhani kuwa mature kunaletwa na experience zaidi kuliko umri.
 
Inategemea!, wapo madem wanazaidi ya miaka 25 lakini bado wanatamaa,ofkoz wapo mademu wana miaka 19-24 wanaakili ya maisha
 
Amani iwe nanyi wana- JF nyote,

Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu.

Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa miaka 25 hivyo shemeji/wifi yenu angekua chini yangu kidogo kiumri.

Baada ya kupata mchumba na kutangaza nia pande zote niliamua kuvuta muda ili niweze kumsoma vizuri. Nilimnunulia smart 4n ili tuweze kuwasiliana vizuri pamoja na vitu vingine vilivyopo ndani ya uwezo wangu.

Changamoto nilizokumbana nazo ni suala zima la uaminifu katika uhusiano wetu. Nimegundua akiwa na mahusiano na wanaume kadhaa wanaoishi kijijini kwao na huwasiliana kwa kutumia simu niliyomnunulia.

Pamoja na mimi kufahamika kwao na kupata heshima kubwa sana ila binti huyu anashindwa kutulia na kuanza kuijenga familia yake vyema.

Nimejaribu kutafiti rika hili la mabinti na kugundua wengi wao bado wanaongozwa na tamaa zaidi kuliko malengo.

Dawa ni kumzalisha watoto 3 kwa kipindi kifupi yani dani ya miaka 5 utaona atakuwa na ataacha hayo anayoyafanya.
 
Dawa ni kumzalisha watoto 3 kwa kipindi kifupi yani dani ya miaka 5 utaona atakuwa na ataacha hayo anayoyafanya.
Hiyo ni dawa kwa mabinti wajasiri ktk rika hilo maana kwa walioajiriwa ni ngumu kupewa likizo ya uzazi kabla ya kupita miaka mi3 baada ya kupata likizo hiyo.
 
Back
Top Bottom