Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,179
- 34,527
HakikaKuna wenye umri wa under 25 na wametulia..
Kuna wenye above 30 ni waruwaru wa kutupa..
Kutulia kwa binti kunategemea na malezi aliyokulia pamoja jamii anazochangamana nazo.
HakikaKuna wenye umri wa under 25 na wametulia..
Kuna wenye above 30 ni waruwaru wa kutupa..
Kutulia kwa binti kunategemea na malezi aliyokulia pamoja jamii anazochangamana nazo.
Wapo mtani wangu, nina mifano ya karibu sana,japo michache,pengine ndiyo hiyo 0.1%
Nimetulia toka niko mdogo, jina langu la utoto niliitwa Tulia. Na Nimetulia mpaka sasa. Ndio maana nasema wapo ambao ni under 25 na wametulia.Wewe ukipima ulipokuwa na age hiyo na sasa unaonaje?
Nimetulia toka niko mdogo, jina langu la utoto niliitwa Tulia. Na Nimetulia mpaka sasa. Ndio maana nasema wapo ambao ni under 25 na wametulia.
Ha ha ha, anza na baba zangu wadogo, maana ndio initiators wa hilo jina.Itabidi tuwatafute hao waliokuita Tulia
Kama Madame Wema SepetuMwanamke aliyekomaa haswa kiakili ni kuanzia 27 (asilimia kubwa)japo kuna wengine umri huo ndio kwaaanza km waamshwa...Muombe Mungu
Hongera sana, jitahidi kuwaonesha njia hawa vichomi wa sikuhizi.Nimetulia toka niko mdogo, jina langu la utoto niliitwa Tulia. Na Nimetulia mpaka sasa. Ndio maana nasema wapo ambao ni under 25 na wametulia.
Early marriages
Kama Madame Wema Sepetu